Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,692
- 164,963
Ukiacha hii,ame-tweet nyingne ya kuponda kumuita Mkulu mjamaa kwa maneno ambayo sijui kama yatamuacha salama.
Hiyo tweet nyingine nimeona bora tu niache huko huko.
Sasa sijui anatakaa kuvaa viatu vya Tundu Lissu?
Wacha tumpe muda but he is on the right track so far.