Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,765
- 218,383
Lema ana tatizo la kisaikolojia. Ni mtu kuongea tu, akimaliza analeta unabii usio na kichwa wala miguu.
Tuvute subiraKema ana tatizo la kisaikolojia. Ni mtu kuongea tu, akimaliza analeta unabii usio na kichwa wala miguu.
Na wakishinda hiyo rufaa yao je?Duh!
Chadema mna ujuaji mwingi aisee!
Wakati Magu anatunga hizo sheria za kulinda watu wake hakuna aliyesimama. Kila mtu alikuwa yuko kibra tayariTuvute subira
Hizi sheria ndio kielelezo kuwa huyu mtu hatufai, angekuwa yuko impartial asingehitaji hizo sheria zimlinde, walitengenezewa hizo sheria ili ziwalinde wakienda kinyume na majukumu waliyopewa kwenye ofisi zao kama kina Ndugai bungeni.Wakati Magu anatunga hizo sheria za kulinda watu wake hakuna aliyesimama. Kila mtu alikuwa yuko kibra tayari
Haya ni matokeo tu.
View attachment 1781262
View attachment 1781263
Hakuna mwenye akili yake timamu asiyejua kuwa Magu was a total mess, shetani.Hizi sheria ndio kielelezo kuwa huyu mtu hafai, angekuwa yuko impartial asingehitaji hizo sheria zimlinde.
Hivi ni kipi hukijui kuhusu uozo wa Biswalo ?Duh!
Chadema mna ujuaji mwingi aisee!
Chadema wanadeal na mambo ambayo hayagusi kundi kubwa la Watanzania bali ni ya ubinafsi wao tu. Watu wana shida ya maji, barabara mbovu kwa baadhi ya maeneo ya nchi lkn hawayaongelei bali wamebakia umbea tu mara Sabaya, DPP...!!!
Kama unao ushahidi wa ukandamizaji wake, nenda mahakamaniKipimo kwa mahakama tuone kama zimeanza kuwa huru, Biswalo hana credibility ya kuwa jaji sifa moja kubwa ya mtu kuwa jaji lazima awe impartial, huyu jamaa ofisi yake ilikandamiza watu wakati wa utawala wa mwendazake.
Uozo upi?Hivi ni kipi hukijui kuhusu uozo wa Biswalo ?
Hebu tudiskasi kuhusu hayo ya kisaikolojia mkuu. Hayo ya unabii wa Lema hebu tuyaache kwanza. Hayana historia nzuri kwa nchi yetuLema ana tatizo la kisaikolojia. Ni mtu kuongea tu, akimaliza analeta unabii usio na kichwa wala miguu.