Msajili wa mahakama yupo mahakamani mkuu. Ni muundo wa utumishi katika mahakama.Fine, but aliye mahakamani kwa mtindo huu atakata tamaa maana nafasi za usajiri wa mahakama ni chache. Anyway ni mtindo wa Jiwe, sidhani kama Jaji Mkuu kabadilika..bure kabisa
OK, najua but does not practice law ni utawala, I guess, I stand to be correctedMsajili wa mahakama yupo mahakamani mkuu. Ni muundo wa utumishi katika mahakama.
Kweli unaamini sasa ni bora zaidi?Ukajua umo, uliipoteza taji yako kizembe sana enzi ya kuhani mkuu KAYAFA, sasa unaishi kama popo usiyejua uwe mnyama au ndege pole sana. Majira hayafwati watu bali watu hufuata majira.
Imagine ungelinda ile taswira yako leo ungekuaje?
Uliitupa taji yako kwenye shingo ya nguruwe pole sana.
Nimekumbuka kitabu cha 'the wreath for father mayor'
Ni mbaya kuliko jana, lakini kwakua uliitupa taji ukiamini wakati ni milele imekua tofauti, wakati si milele.Kweli unaamini sasa ni bora zaidi?
Tatizo Katiba haiendani na taratibu zao za kitaaluma ktk kupata hao wakioteuliwa.Fine, but aliye mahakamani kwa mtindo huu atakata tamaa maana nafasi za usajiri wa mahakama ni chache. Anyway ni mtindo wa Jiwe, sidhani kama Jaji Mkuu kabadilika..bure kabisa
Mkuu wametokea huko kwenye law practice, hata usajili wa mahakama si utawala peke yake na hata huko wanakokwenda ni ku practice law pia.OK, najua but does not practice law ni utawala, I guess, I stand to be corrected
Achana na hekaya na ngano za jiwe mzee. Hiyo kitu ni ngumu tofauti na unavyofikiria.Tatizo sisi wananchi hawataki kusikiliza kilio chetu, Bado Mahakama zetu za juu zinaendelea kuandika haki zetu kwa lugha ya kizungu japo sheria ilibadilishwa!!!
Sasa tunaiuliza mahakama, kwa kuanya kuendelea kutumia lugha ya kiingereza ni kuwadharau wananchi au ni kulidharau Bunge ambalo lilitunga Sheria baada ya kilio cha wananchi?
Kwa nini mahakama hazitaki kutumia lugha ya kiswahili? haswa mahakama za Juuu?!
hujajibu hoja, ugumu unaanzia wapi?! mwanzo ilikuwa kikwazo ni sheria, sheria zimebadilishwa, sasa ugumu ninini ? tueleze, kwamba Majaji na Mahakimu wamegoma kutoa haki zetu kwa kutumia lugha ya Kiswahili?! au nini tatizo,Achana na hekaya na ngano za jiwe mzee. Hiyo kitu ni ngumu tofauti na unavyofikiria.
Una terminologies za kutosha?hujajibu hoja, ugumu unaanzia wapi?! mwanzo ilikuwa kikwazo ni sheria, sheria zimebadilishwa, sasa ugumu ninini ? tueleze, kwamba Majaji na Mahakimu wamegoma kutoa haki zetu kwa kutumia lugha ya Kiswahili?!
asante sana. Dunia kwenye kiganga cha mkono, knowledge at your finger tips:Mkuu wametokea huko kwenye law practice, hata usajili wa mahakama si utawala peke yake na hata huko wanakokwenda ni ku practice law pia.
Ni kama leo useme kwanini mhariri kateuliwa mwandishi kaachwa.
Practice makes perfect, sasa hawa wengine wana miaka mingi bila ku practise, si wamehasahau some law .............Mkuu wametokea huko kwenye law practice, hata usajili wa mahakama si utawala peke yake na hata huko wanakokwenda ni ku practice law pia.
Ni kama leo useme kwanini mhariri kateuliwa mwandishi kaachwa.
Ili kujua zaidi kajisomee sheria za utumishi wa mahakama zetu na namna hao wasajili wanavyopatikana.asante sana. Dunia kwenye kiganga cha mkono, knowledge at your finger tips:
What Is a Court Registrar? (Duties and How to Become One)
Learn the answer to 'What is a court registrar?', discover their responsibilities, the types of courts and how you can pursue a career as a court registrar.au.indeed.com
Mkuu na wewe utakuwa umechoka unahitaji kupumzika! Hiyo date unahamasishwa kujiandaa kuhesabiwa! Tarehe ya tangazo ni 6 August 2022 iko hapo juu kabisa upande wa kushoto!mbona date ni August 23, 2022? Au mimi ndiye sielewi? @Lusungo
Huyu mheshimiwa ni kama anataka kuweka watu imradi tu aoneshe amefanya 50/50Issue ni je these ladies are they capable of handling complex law issues that will come before them? Au ni ,kuwapa kubalance gender without technical know how? Majaji wa UPE!
Na pia huwa wanafanya kazi za majaji pale mahakama kuu. Nimeshuhudia kesi yangu moja ilisikilizwa na msajili wa mahakama! Ila hawako competent kama majaji!Ili kujua zaidi kajisomee sheria za utumishi wa mahakama zetu na namna hao wasajili wanavyopatikana.
Kwa kukusaidia tu wasajili wengi wa mahakama wametokea kwenye uhakimu kwa kupanda vyeo.
Mkuu, msajili wa mahakama huwa ana majukumu ya kiutawala kuhakikisha shughuli zinaenda vyema mahakamani. Kuhusu kupractice, msajili na manaibu wasajili hawa ndio wanaosikiliza kesi za maombi ya gharama (bill of cost au taxation case), wanasikiliza maombi ya kukaza hukumu (utekelezaji wa hukumu) iliyotolewa na mahakama kupitia Jaji, wanaahirisha kesi pale Jaji asipokuwepo mahakamani nk.Practice makes perfect, sasa hawa wengine wana miaka mingi bila ku practise, si wamehasahau some law .............
Sio competent sema hawana uwezo kimaamuzi kuliko majaji maana kuna wasajili wana nondo kuliko majaji wa vimemo na michongo.Na pia huwa wanafanya kazi za majaji pale mahakama kuu. Nimeshuhudia kesi yangu moja ilisikilizwa na msajili wa mahakama! Ila hawako competent kama majaji!
Ungemuongezea kuwa wasajili hutoka kwenye uhakimu pia.Mkuu, msajili wa mahakama huwa ana majukumu ya kiutawala kuhakikisha shughuli zinaenda vyema mahakamani. Kuhusu kupractice, msajili na manaibu wasajili hawa ndio wanaosikiliza kesi za maombi ya gharama (bill of cost au taxation case), wanasikiliza maombi ya kukaza hukumu (utekelezaji wa hukumu) iliyotolewa na mahakama kupitia Jaji, wanaahirisha kesi pale Jaji asipokuwepo mahakamani nk.
Kesi za maombi ya gharama za kesi na hata za ukazaji wa hukumu ni kesi kama kesi nyingine, msajili husikiliza pande zote mbili, huchambua maelezo yao na uamuzi wake hutoka kwa mtoaji kuweka authorities nk, hivyo ni lazima afanye research.
Ondoa shaka kuhusu weledi wa naibu wasajili, weka shaka kwa Malata kuwa jaji - huyu amepotosha (misled) sana mahakama ili tu ashinde kesi. Mawakili wa serikali wengi wapo kwa ajili ya kushinda kesi na sio kwa ajili ya kuhakikisha haki inapatikana, watafanya chochote kile ili tu wapate ushindi.