UTEUZI: Mustafa Hamisi Umande ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Chai

Katiba ya Tanzania ina mapungufu, ukishampa Rais wa nchi mamlaka haya yote kisheria si salama kwa ustawi wa nchi kidemokrasia hasa ukizingatia nchi inafuata mfumo wa vyama vingi vya kisiasa, na Rais anatokana na chama kimoja cha siasa, sasa anafanyaje kwa mamlaka haya kutenda haki na usawa kwa raia wote.

Yaani tangu awamu ya TANO hadi sasa ndiyo nimegundua Rais wa Tanzania ni mtu mkubwa sana... maana ukiweka list ya watu anaowateua nafikiri wanafikia zaidi ya 1000 na ushee.
Ni 3000 sio buku
 
kama yupo humu JF natumain tutapata chai za kutosha kwenye kila nyuzi
 
smile.gif
 
Hizi bodi haziwezi kuungwa ikawa moja!!?? Mara mkonge bodi, tumbaku bodi, pamba bodi, chai bodi, kahawa bodi ... Haziwezi kuungwa ikawa bodi moja ya mazao ya kimkakati ikaisha !!??
Utakuwa umeunda syndicate moja ya hatari sana
 
Wale jamaa wanakuaga wezi mno....

Naona watoto wao wanalia humu maana wamebanwa sana na jana wamepewa onyo

Wanapenda kutetea wizi sana maana imo kwenye damu
Maajabu sana mtangulizi aliwajaza wakawa wanaupiga mno na furaha kibao ila sasa bado uchu unawatoka na bado mpaka waseme hatuibi tenaaaaa
 
Udini jamani huyu mama sio mkabila ila ni mdini
Wala nguruwe mna chuki Sana kwanini????

Yaani mnatamani sekta zote muongoze nyinyi?!! Aisee hatari Sana,

Na chuki yenu kwa Samia ni kwasababu ni muislamu tu,
Na akitoka Samia mwaka 2035, anaingia January Makamba, tumejifunza mkiongoza Nchi mnakuwa makatili Sana Kama Taliban
 
Back
Top Bottom