Utendaji wa Rais Magufuli: Chama cha Mapinduzi chamjibu Lowassa

Utendaji wa Rais Magufuli: Chama cha Mapinduzi chamjibu Lowassa

Weraweraaa Lowassa kawachapa tenaaa ndo mana huyu mtu hachuji kamwe na ccm mna kazi sanaa maana mlitegemea kuiua ukawa kwa propaganda lakini hamtoweza
 
Ni kweli hatuna tatizo la mfumo? Naona kama ni personal attack kuliko majibu ya maoni ya anayejibiwa. Katika taarifa iliyoandikwa na gazeti sijaona uzito wa kauli za Mh Lowassa kuzungumzia wanaochishwa kazi kwa ufisadi bali hatua zinazochukuliwa kusababisha makampuni kuounguza au kufunga shughuli na kuachisha au kupunguza wafanyakazi. Pengine kauli hiyo aliitoa lakini iliyoandikwa ni tofauti na iliyojibiwa.


Huyo anaonyesha ni kilaza wa kiasi gani, alivyojibu ni tofauti swali lilivyoulizwa
 
Kwa hiyo Form six alijifelisha mtihani au CCM waliiba maks zake kwa kuwa NECTA sio huru?
Wewe uliyefaulu form six angalia ndiye unapoteza muda kujadili uwezo wa akili wa Mbowe.
 
Umeliwa Doroooh!! kama ulikuwa na kikampuni chako kilichokuwa kinavuta hela ya ngua za halaiki na tshit kwa ajili ya matukio ya sikukuu za kitaifa utazisoma namba mwaka huu....ni bara bara na madawati.... Kwenye bunge kuna group la manyumbu wasio na mapenzi mema na nchii.... MAGUFULI na MAJALIWA wanatosha kufanya kila kitu!


Hivi MWENGE na sikukuu ya Muungano au ya uhuru kipi cha muhimu katika historia ya Taifa letu?
Nchi zote duniani zina siku za kuazimisha uhuru wa nchi hizo.

Mwenge ni wazo la mtu mmoja kwa utashi wake. Ni nembo tu ya taifa kama ilivyo bendera ya Taifa na nembo nyingine za taifa hivyo hakuna haja ya kutumia mabilioni ya fedha kuuzungusha kwa kuukimbiza nchi nzima na kutumia fedha nyingi bila sababu. Ni sawa na kuzungusha bendera nchi nzima kwa gharama kubwa.

Siku ya uhuru ni muhimu zaidi kwani uhuru ni suala lililotokana na harakati za muda mrefu ndani ya jamii na hata wengine kupoteza maisha yao.

Wachache wanaonufaika na mfuko wa mwenge wamekaa kimya huku wakiungwa mkono na wanafiki kama alivyo Ole Sendeka. Wanasubiri mungu wa nchi hii aseme kuwa nimefuta mbio za mwenge na badala yake hizo pesa zijenge shule mbili kubwa za boarding ya wasichana na wavulana kama zile za Ilboro na Msalato ndipo makada wa CCM ambao wengi wao ni wale wasio na maona watajitokeza kuunga mkono na kusema kama mazuzu kuwa Mwenge hauna tija ,unapoteza pesa nyingi. Na maneno mengine mengi ya kinafiki.
 
Wewe uliyefaulu form six angalia ndiye unapoteza muda kujadili uwezo wa akili wa Mbowe.

Hatujadili uwezo wa akili ya mtu tunajadili mfanano wa Matokeo ya kidato cha sita ya Msemaji wa CCM na Mwenyekit wa Ukawa,Chadema na KUB.
 
Lowasa sijui alizaliwa siku gani maana huyu mzee upeo wake mdogo sana halafu siku hizi amechanganyikiwa kabisa.
 
Lowasa sijui alizaliwa siku gani maana huyu mzee upeo wake mdogo sana halafu siku hizi amechanganyikiwa kabisa.
Bila Shaka wewe itakua ni doctor
Mana mtu aliyechanganyikiwa huwezi kumfahamu Bila vipimo nahis i takua umempima
 
Kuna kamfumo walichokianzisha Chadema yaani kila Magufuli akitoa tamko basi lowassa anaibuka na kuja na tamko la kitoto ili tu media uchwara imrushe.

Sasa CCM imempata mwenezi mwenye hoja tena nyingi dhidi ya lowassa...

Ole sendeka ndio mwenezi muafaka wa kujibu hoja za kitoto za UKAWA YA LOWASSA..

Asante kwa WELEDI WA CCM!
 
Olesendeka na wapenda maendeleo wenzangu, kwa nini mnapoteza muda wa kujibisha na Genge la Mafisadi...

Chapeni kazi... Wote hao ni Wachawi wa Maendeleo na hawatapenda kuona mnafanikiwa.

Umenena jambo moja kubwa na la msingi sana Mheshimiwa Ole Sendeka .... Kwamba CCM kinatambua kwa kina namna EL akiwa madarakani as Waziri Mkuu jinsi alivyokuwa akiwadhalilisha Ma DED , DC na watendaji wengine na tena kwa kuwatupia risala au maelezo mbele ya Wananchi.... Huo haukuwa unyanyasaji wa Wafanyakazi? Na tena ulikuwa wa kinyama na udhalilishaji Mkubwa sana kwa Watumishi wa Uma. Au kwa sababu anafanya ndugu PJM ndo inaonekana unyanyasaji?


Mwl J. K. Nyerere alishawahi na kusema kuwa nanukuuu " Wote wanaopinga juhudi za Serikali iwe hii iliyopo madarakani au yoyote ile na hasa Serikali iliyodhamilia kupambana na uhujumu, unyonyaji wa Uchumi ndani ya Taifa hili na Ubepari wa kuendelea kunyonya KWA lengo la kuendelea kushibisha matumbo Yao na familia zao Huku walio wengi na hasa wanyonge wakiendelea kunyonywa, na Huku wakituambia wanazuoni na wachumi wamekutana kuzungumzia hali ya utendaji wa Mh JPM hao ndo wanyonyaji Wakubwa wa Taifa hili na tena hawatapenda na hawatafurahia Serikali iliyowekwa madarakani na wanyonge na wanaoitakia mema Taifa Lao. Mwisho wa kunukuuu

Tell them Stop, Tanzanian are not Stupid and we know their behind angenda.

Na wakati haya machafu ambayo leo JPM anayakamua wao si ndo walikuwa Madarakani?
Na wengine / miongoni mwao
ndo chanzo kikubwa cha nchi yetu kuendelea kunyonywa na wengine wao wametegesha mirija Yao ya Kuinyonya Nchi hii.

Ndo maana kipindi kile wanatuletea usanii wa kupanda daladala eti wajionee adha ya daladala, jamani tumuogope Mungu...

Walikaa madarakani kwa kushika nyadhifa mbali mbali, halafu 2015 wanatuambia tunapanda daladala ili tujue adha yake....

Stop it, mwacheni JPM afanye kazi na kama anakosea wananchi na tena wale wenye kipato cha chini na wanyonge wao ndo waseme au wakosoe sio nyie Mafisadi papa na mliolihujumu Taifa hili kwa kutukia una Zuoni na una - Uchumi wenu.
 
Umeliwa Doroooh!! kama ulikuwa na kikampuni chako kilichokuwa kinavuta hela ya ngua za halaiki na tshit kwa ajili ya matukio ya sikukuu za kitaifa utazisoma namba mwaka huu....ni bara bara na madawati.... Kwenye bunge kuna group la manyumbu wasio na mapenzi mema na nchii.... MAGUFULI na MAJALIWA wanatosha kufanya kila kitu!
Vp sasa kama ana kampuni ya ukandarasi na useremala???
 
Umenena jambo moja kubwa na la msingi sana Mheshimiwa Ole Sendeka .... Kwamba CCM kinatambua kwa kina namna EL akiwa madarakani as Waziri Mkuu jinsi alivyokuwa akiwadhalilisha Ma DED , DC na watendaji wengine na tena kwa kuwatupia risala au maelezo mbele ya Wananchi.... Huo haukuwa unyanyasaji wa Wafanyakazi? Na tena ulikuwa wa kinyama na udhalilishaji Mkubwa sana kwa Watumishi wa Uma. Au kwa sababu anafanya ndugu PJM ndo inaonekana unyanyasaji?


Mwl J. K. Nyerere alishawahi na kusema kuwa nanukuuu " Wote wanaopinga juhudi za Serikali iwe hii iliyopo madarakani au yoyote ile na hasa Serikali iliyodhamilia kupambana na uhujumu, unyonyaji wa Uchumi ndani ya Taifa hili na Ubepari wa kuendelea kunyonya KWA lengo la kuendelea kushibisha matumbo Yao na familia zao Huku walio wengi na hasa wanyonge wakiendelea kunyonywa, na Huku wakituambia wanazuoni na wachumi wamekutana kuzungumzia hali ya utendaji wa Mh JPM hao ndo wanyonyaji Wakubwa wa Taifa hili na tena hawatapenda na hawatafurahia Serikali iliyowekwa madarakani na wanyonge na wanaoitakia mema Taifa Lao. Mwisho wa kunukuuu

Tell them Stop, Tanzanian are not Stupid and we know their behind angenda.

Na wakati haya machafu ambayo leo JPM anayakamua wao si ndo walikuwa Madarakani?
Na wengine / miongoni mwao
ndo chanzo kikubwa cha nchi yetu kuendelea kunyonywa na wengine wao wametegesha mirija Yao ya Kuinyonya Nchi hii.

Ndo maana kipindi kile wanatuletea usanii wa kupanda daladala eti wajionee adha ya daladala, jamani tumuogope Mungu...

Walikaa madarakani kwa kushika nyadhifa mbali mbali, halafu 2015 wanatuambia tunapanda daladala ili tujue adha yake....

Stop it, mwacheni JPM afanye kazi na kama anakosea wananchi na tena wale wenye kipato cha chini na wanyonge wao ndo waseme au wakosoe sio nyie Mafisadi papa na mliolihujumu Taifa hili kwa kutukia una Zuoni na una - Uchumi wenu.
Ebu weka vizuri nukuunya Nyerere ili tuielewe. Ondoa maoni yako ili iwe nukuu sahihi.
 
So magufuli is untouchable!!?
Ndivyo wanavyotaka CCM hata kama Magufuli anavunja katiba ya nchi ni sawa tu. Hebu tazama Katiba inasemaje kuhusu matumizi ya fedha nje ya ilivyopitishwa na Bunge;


137 (3) Ikiwa katika mwaka wa fedha wowote inaonekana kwamba:

Fedha za matumizi zilizoidhinishwa na sheria ya matumizi ya Fedha za Serikali kwa ajili ya shughuli fulani hazitoshi au kwamba imekuwa lazima kulipa gharama za shughuli ambayo haikupangiwa fedha za matumizi kwa mujibu wa sheria;

Au

Kuna fedha ambazo zimetumiwa kwa ajili ya shughuli fulani kwa kiasi kinachozidi kiwango cha matumizi yaliyoidhinishwa na sheria ya Matumizi ya Fedha za Serikali kuhusu shughuli hiyo

Au

Kwamba fedha zimetumiwa kulipia gharama za shughuli ambayo haikupangiwa fedha za matumizi kwa mujibu wa Sheria,

Kutawasilishwa kwenye Bunge makadirio ya matumizi ya nyongeza au, kadri itakavyokuwa, maelezo ya matumizi ya ziada, na baada ya Bunge kuyakubali hayo Makadirio ya matumizi ya nyongeza au maelezo ya matumizi ya ziada, kutawasilishwa kwenye Bunge Muswada wa Sheria ya Matumizi ya fedha za Serikali kwa ajili ya kuidhinisha matumizi ya fedha kutoka Mfuko Mkuu wa Hazina ya Serikali na fedha hizo zitatumiwa kulipia gharama za shughuli zinazohusika na hayo makadirio au maelezo.

Mungu atunusuru...
 
Ile bilioni 10 ambayo Lowasa akiwa Waziri mkuu aliyoagiza wapewe kiwanda cha General tyres cha Arusha iliidhishwa na Bunge gani. Kuna matumizi makubwa makubwa mengine aliagiza wakati huo bila idhini ya Bunge.
 
Back
Top Bottom