Lowasa Amemfanya Sendeka Aliudhurie Bunge Kwenye Tv
Akina Sendeka wamesababisha Chadema waichome moto list of shame!
Lowasa Amemfanya Sendeka Aliudhurie Bunge Kwenye Tv
Nauweka Unazi Pembeni,Sitakujibu Leo Kwa Elimu Nzuri Uliyonipa Hapo Juu!AhahahaAkina Sendeka wamesababisha Chadema waichome moto list of shame!
Nauweka Unazi Pembeni,Sitakujibu Leo Kwa Elimu Nzuri Uliyonipa Hapo Juu!Ahahaha
Unajidanganya tu. Upinzani unakuwa kwa kasi. Dar imeshang'oka; na maeneo mengine kibao.Awamu iliyopita wapinzani walikuwa mbele chama tawala nyuma.
Awamu hii chama tawala mbele upinzani nyuma.
Sjui nani atamskiliza huyu div 0. Huwa anaongea pumba kwamsisitizo hasa kwa point za kudandia sio yeye kugundua mapungufu. Kama umeonekana shallow kwa Masai wa Simanjiro sjui utaonekana deep wapi!
Kwanza nlishangaa div 0 hii ilipotaka ligi na Prof. Hakunaga jambo hopeless kama kutaga asee
Halo ndio ccm wanapoonyesha umbumbumbu wao. Wanashindwa kupata maana ya MTU kuhama chama na kutenda tofauti.Yeah, EL alifanya hivyo alipokuwa CCM, na ndio maana tunasema ni tatizo la mfumo!
Wataalam wa mambo ya siasa na kijamii watakwambia,..Fisadis hawatakaa kimya kwa sababu wamebanwa wanapata uchungu.TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIAliyekuwa mgombea Urais wa UKAWA kupitia CHADEMA, Ndugu Edward Lowassa, Aprili 7, 2016 alifanya mazungumzo na Wanazuoni kutoka katika vyuo vikuu vya ndani na nje ya nchi.
Katika mazungumzo hayo, Ndugu Lowasa aligusia masuala mbalimbali ya Kitaifa yakiwemo hali ya siasa nchini, kuachisha kazi watumishi wenye tuhuma mbalimbali, na kile alichokiita tatizo la mfumo nchini.
Alichokifanya Ndugu Lowassa ni kutaka kuwaaminisha Watanzania masuala yasiyo sahihi kwa maslahi ya kisiasa, kwani ukweli ni kwamba; Mosi, Rais John Pombe Magufuli hatafuti umaarufu, badala yake yeye na Serikali yake wanachapa kazi ili kuwaletea maendeleo Watanzania kwa ujumla.
Pili, kuhusu suala la mfumo, Tanzania haina tatizo la kimfumo, kwani iliyopo, iliyowekwa tangu awali na waasisi wa Taifa letu, Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na Hayati Abeid Aman Karume ni imara na imekuwa ikiboreshwa kulingana na mahitaji.
Ifahamike hakuna mahali popote duniani ambako mfumo wa nchi unajiendesha wenyewe, siku zote mfumo huongozwa na kuendeshwa na binadamu ambao kwa udhaifu wa ama kibinadamu au wa kukusudia, hufanya makosa yanayohitaji kusahihishwa kwa taratibu zilizowekwa.
Tatu, Hakuna mtumishi aliyeachishwa au kusimamishwa kazi kwa sababu ya hali ngumu ya uendeshaji wa Shirika lolote, isipokuwa hatua hiyo imechukuliwa ili kupisha uchunguzi kutokana na tuhuma mbalimbali za ukiukaji na matumizi mabaya ya ofisi na madaraka, ubadhirifu, uhujumu uchumi na ufisadi.
Chama Cha Mapinduzi kina ushahidi wa utendaji wa Ndugu Lowasa akiwa Waziri Mkuu namna alivyoendesha zoezi la kusimamisha na kufukuza kazi na kuwadhalilisha watumishi bila kufuata taratibu, hali hiyo ni tafauti sana na hii ya sasa, kwani kila anayesimamishwa kazi, anasimamishwa kwa kufuata taratibu zote, ili kuhakikisha kila mtumishi anatendewa haki ya kusikilizwa.
Na katika hili la kuwasimamisha kazi watumishi wa umma wanaotuhumiwa kwa ufisadi, wizi na matumizi mabaya ya ofisi, Chama Cha Mapinduzi kitaendelea kuunga mkono, kutokana na baadhi yao kuwa chanzo cha shughuli za maendeleo nchini.
Kiongozi au mwanasiasa anayemkosoa Rais Magufuli katika hatua anazozichukua hivi sasa, ikiwa ni pamoja na kudhibiti matumizi mabaya ya fedha za umma, ni wa kutiliwa shaka kwani kufanya hivyo ni sawa na kutetea wizi, ufisadi na uporaji wa rasilimali za nchi.
Ndugu Christopher Ole Sendeka,
MSEMAJI WA CCM
MJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA TAIFA,
08/04/2016
Uwezo wa Freeman kichwani hata hao wanaokulipa hapo Lumumba wanaujua na uku admire, wewe bwabwaja tuu hapa mtandaoniMatokeo ya kidato cha sita ya Freeman Mbowe na Ole sendeka ukifunika namba ya Watahiniwa na tarehe ya mtihani hutoweza kuyatofautisha.
Kunawatu wanaakili shapu kwenye maisha na kutafuta/kupangilia pesa,hatakama class hawakupiiga but wakovizuri...Oleboy dah! kabahatisha icho kibarua chakuwa mtoapumba mkuu lasivyo ingekuwa ni kuchunga tuu.Matokeo ya kidato cha sita ya Freeman Mbowe na Ole sendeka ukifunika namba ya Watahiniwa na tarehe ya mtihani hutoweza kuyatofautisha.
Uwezo wa Freeman kichwani hata hao wanaokulipa hapo Lumumba wanaujua na uku admire, wewe bwabwaja tuu hapa mtandaoni
Tumia basi kiasi kidogo cha hako kaubongo kako kalikobakia ka kuvalia suruali kwa kuelewa mambo kisawasawa. Umeambia chama ndio kimejibu sio ikulu.Sendeka unatia kinyaa. Wewe ni msemaji wa Ikulu, haya kweli ni yako kuyasemea. Gerson atafanya kazi gani
Kunawatu wanaakili shapu kwenye maisha na kutafuta/kupangilia pesa,hatakama class hawakupiiga but wakovizuri...Oleboy dah! kabahatisha icho kibarua chakuwa mtoapumba mkuu lasivyo ingekuwa ni kuchunga tuu.