Utendaji wa Rais Magufuli: Chama cha Mapinduzi chamjibu Lowassa

Utendaji wa Rais Magufuli: Chama cha Mapinduzi chamjibu Lowassa

Vipi kuhusu Raisi kufanya kazi ya Bunge ya kupanga matumizi ya fedha za serikali?
Bunge gani?

Hili bunge la wala rushwa na mawakala wa wafanyabiashara wasio waaminifu?

You must be joking!

Kwa kukusaidia zaidi, bunge halipangi matumizi ya serikali bali kazi yake ni kukataa, kuridhia au kuidhinisha matumizi ya serikali.
 
Bw. Ole Sendeka tunajua una chuki binafsi Na Kamanda kipenzi Edward Lowassa kwani nguvu yake ndio iliyokutupa nje ya Bunge .Watu wengine wamemkosoa Magufuli mbona hukujibu ila Kamanda kipenzi cha Watanzania ndio unajifanya kujibu acha unafiki Mkuu
 
Ahahahahahahaaaaaaa Sendeka bana ameamua kulopoka tu sasa,maana bila kufanya hivyo posho hapati
 
Hii taarifa imetolewa na sendeka kweli!!!? Ngoja nimuulize prof muhongo na Dr slaa nitarudi baadae kukoment
 
Ni meshangazwa Na aliyekuwa mbunge wa CCM aliyebwagwa Na OLE MILIA wa Chadema mwaka 2015 Bw.Ole Sendeka kuibuka Na kudai eti Lowassa in muongo.Hatumshangai Bw.Sendeka kwani nguvu ya Lowassa ndio iliyombwaga katika uchaguzi huo Na kumtupa nje ya Bunge hali ambayo inamfanya awe Na HASIRA Na Lowassa.Tunapenda kumkumbusha Bw.Sendeka kuwa watu wengi wamemkosoa Rais Magufuli mbona hukuwaita Waongo? Acha chuki binafsi .
 
Usipotoshwe na Lowassa, Kazi ya kupanga matumizi ni ya serikali kazi ya Bunge ni kuidhinisha Matumizi yaliyopangwa na serikali.

Bunge linahitaji kuidhinisha matumizi mapya ikiwa yatazidi kiwango cha bajeti iliyopitishwa lakini realocation between Ministry ni kazi ya Kamishna Mkuu wa Bajeti. Mf kuhamisha fedha za kununulia Makreti ya bia ya sherehe za uhuru na kupeleka kutokomeza kipindupindu yanahitaji ruhusa ya Kamishna wa Bajeti peke yake. Lowassa anapinga kuhamisha fedha za Sherehe za Muungano kwenda kujengea barabara.
Hizi hizo siku 100 za Lowassa kutokomeza Umaskini angetumia bajeti hii hii ya Jk au angeitisha bunge kuifuta bajet hii na kuileta mpya ndan ya hizo siku 100 na kuanza ufutaji wa umaskini?
naomba kuuliza mkuu,kila wizara ina kamishina wake wa bajeti au ni cheo kinacho jitegemea?
 
Lowasa amechanganyikiwa, mirija yake aloitegemea kufisidi nji hii imekatwa.

Imagine Lowassa huyu huyu leo hii anashindwa kumsaidia mkwewe unyapalani.....

Mifumo taratibu inaanza kufanya kazi, nafasi ya mtu na kujuana sasa havina nafasi.
Kwa kweli awamu ya tano imetufikisha patamu,ingekuwa enzi ile sahizi "mkwe" yuko nje zamani,lakini tuko kwenye awamu ya kuua nyani bila kumtazama usoni.hata "baba mkwe"anang'olewa meno anashindwa kumpa taf mkwewe!
 
Bunge gani?

Hili bunge la wala rushwa na mawakala wa wafanyabiashara wasio waaminifu?

You must be joking!

Kwa kukusaidia zaidi, bunge halipangi matumizi ya serikali bali kazi yake ni kukataa, kuridhia au kuidhinisha matumizi ya serikali.
elimu ya bure,rahisi na jengefu ya uraia!asante mkuu
 
Bw. Ole Sendeka tunajua una chuki binafsi Na Kamanda kipenzi Edward Lowassa kwani nguvu yake ndio iliyokutupa nje ya Bunge .Watu wengine wamemkosoa Magufuli mbona hukujibu ila Kamanda kipenzi cha Watanzania ndio unajifanya kujibu acha unafiki Mkuu
lowasa ndio kamfanya hata c.c.m wampe usemaji wa chama,ili aweze kupata jukwaa la kumpigia madogo Lowasa!
Ahahahahahahaaaaaaa Sendeka bana ameamua kulopoka tu sasa,maana bila kufanya hivyo posho hapati
ahahaha,kumbe!
 
Sasa amekosea wapi
"Anae Muunga Mkono lowassa Akapimwe Akili"
 
Mara nyingi ngazi ya Wizara anaitwa Mkurugenzi kamishna Mkuu wa Bajeti yupo Wizara ya fedha
oho,kumbe!wizara zingine anaitwa Mkurugenzi,halafu wizara ya fedha anaitwa Kamishna Mkuu wa Bajeti,si ndiyo?
Asante Mkuu
 
Ole Sendeka ni hodari zaidi kupangilia matamko ya chama kuliko Nape. Taarifa imejitosheleza,hakuna maswali toka UKAWA. Nape ni mwanahabari kitaaluma,ila kaachwa mbali na mwanasayansi Ole Sendeka.
UKAWA shinikizeni CCM walete ushahidi wa EL kufukuza watumishi wa serikali kinyume na taratibu
 
Back
Top Bottom