..inshaaalah!!!.... amina!!
lakini mjuwe huyu jamaa anao upupu mwingi tu aliacha pale nemc...alipojeuza nemc [akiwa mkurugenzi]...na mwenzake akiwa ..mwenyekiti wa bodi kuwa chombo cha kuwapiga fimbo adui za mwenyekiti na kusahau kuwa tanzania ni kubwa ..na kipindi hicho migodi inaaaza ..alitakiwa ajibu hawakufanya environmental imopact assessment na leo hii watu wanakufa huko.......kama ni wrong doing za nyuma na pia si hizo ni zake???...
siku hizi kila anayepiga vita ufisadi hataki kuambiwa makosa yake ??..huwezi kuwa malaika ghafla kwa kupiga vita ufisadi......au huwezi kupiga vita ufisadi kwa kuchagua wa kumpinga na wengine ...kuwaacha ..thats a dare mistake inafanywa sasa ....kuna mafisadi wanaanikwa na wengine ..wanaachwa...nadhani inapasa wote ikwemo hawa ...waliokuwa wakila pesa za watu ili wafunge viwanda vywa wenzao!
lakini mkuu mi sijafurahishwa na approach yako, hapa we dare to talk openly, sasa unakuja na mafumbofumbooooo ukitaka twende librally kusakanya data!
Huyo Tina ndo kabisaa anadai muunganiko wa Zitto hapa kwa msukumo wa RA nyinyi mnaujua? if your dare just dare wakuu..
usitufanye tubaki na maswali lukuki hadi tufikirie kwamba pengine nawewe ni chuki zako ama kuna msukumo pembeni unao kufanya uandike haya!
Lete data mkuu, Hili la Barriki kutokaguliwa mazingira kabla ya kuanzishwa mbona liko wazi mkuu, kwani hata ile Buzwagi saga, ilisainiwa Londoni kabla hata ya hicho kibali cha ukaguzi, na ilisemwa bungeni japo wakaipindisha kwa kugonga meza CCM CCM! na kila mtu alijua aliye kuwa nyuma ya 'voda fasta hiyo' yes, mwenye hisa mkuu aliyetukuka.
Kama alifanya ufisadi huko NEMC uweke wazi siyo kuunga unga mara nemc mara houseboy, mara chuki binafsi , mara msukumo wa RA, very confusing!