Utendaji wa Fred Mpendazoe akiwa NEMC

NEMC haina pesa ya kufanya EIA kila kiwanda cha Tanzania. Badala ya kulaumu NEMC ilaumu Wizara ya Mazingira ambayo ndo inaomba pesa Serikalini. Kwanza hata hiyo sheria ya Mazingira ilikuwa haijapitishwa na Bunge enzi hizo za Mpendazoe. Ungejua 90% ya Viwanda Tz vyote ni vya wahindi na vyote ni vichafuzi wa Mazingira usingesema!!!! hawa watu ni wabaya hawaruhusu mtu kuingia kufanya ukaguzi wowote ndani hata Afisa Afya wa jiji achana na NEMC.

Anaegharamia EIA sio serikali ila ni proprietor
 
Phill.....i feel you Mkuu.......najua wewe ni mmoja wa watu wenye "nyanga" muhimu sana hapa JF

Mpendazoe anaweza kuwa na mapungufu yake alipokuwa NEMC kiutendaji kama binadamu na hata kama Ofisa Mkuu....lakini tuelekeze hizi hisia kwenye utendaji zaidi kuliko personal

Tujiulize yafuatayo
1. Ni lini NEMC ilipewa meno mbali ya kuwa advisory Council to our Government since its establishment
2.Ni utaratibu gani uliwekewa Miradi ya Madini uliwekwa i.e. Miradi ya Madini ni nani alikuwa mandated kui-appove

Kumbukumbu yangu ni kuwa power ya ku-approve miradi ya madini ilikuwa chini ya Wizara ya Madini na Nishati............EIA zake zilikuwa submitted NEMC after the fact and out of courtesy

Phill unakumbuka Mradi wa Shrimps kule Rufiji.....ni nani ali-approve notwithstanding the advise from NEMC....just google huo mradi utaona mengi tu

Phill.....unakumbuka lile kundi la akina Adv. Tundu Lisu na organization yao LEAT kwenye mpambano na serikali huko migodini kuhusu mazingira......just google LEAT na kesi zake utaona mengi

Phill....unakumbuka miradi ya Viwanda ya kuku Kule Salasala/Kunduchi na matatizo ya wananchi..........

Phill...unakumbuka kuwa watu wengine kama akina Lisu na wataalamu wa mazingira walionywa na serikali kuwa ni wachochezi na wanatishia usalama wa Taifa kwa kuwachochea wananchi kupinga uharibifu wa mazingira

Phill ninayo mengi sana......lakini kwa uchache fuatilia hayo na ujue tatizo liko wapi....in short naweza kusema tatizo ni system imeoza....kwa kuwa mafisadi wameishikilia....na hata sasa tuna-suffer kwa kuwa wao ndio wameshikilia mpini.........

mwisho.......hivi juzi Mh Cheyo ni kitu gani kilimfanya hadi aondelewe Bungeni vile?

Ok Phill....pengine una mengi zaidi ya kueleza kuhus Mpendazoe na udhaifu wake kiutendaji....any specifics?
 
Ok Phill....pengine una mengi zaidi ya kueleza kuhus Mpendazoe na udhaifu wake kiutendaji....any specifics?

Mkuu nimeamini huyu Phill ana kitu chake rohoni dhidi ya Mpendazoe lazima kuna kitu kwa hizi fact ulizo weka hapo juu umenikumbusha mbali events zote hizo. Kweli mkuu huyu jamaa ana lake na huyu Mbunge naona anyamaze tu hana facts za kummaliza mbunge huyu atafute sababu zingine.
 
Huyu Mpendazoe ni Mbunge wa Jimbo la Kishapu, Shinyanga na mgodi wa Almasi wa Williamson Diamonds Ltd upo katika jimbo hilo. Mgodi huo uliokuwa ukimilikiwa na De Beers SA uliuzwa kwa $10M kwa kampuni ya Petra UK bila ya TZ Govt, ambaye ni 25% shareholder, kushirikishwa na Mpendazoe akiwa Mbunge wa eneo hilo hajawahi kulizungumza hili hata siku moja. Leo anazungumzia viwanda vingine wakati kilichopo infront of his nose kanyamaza, na hatma ya employees mgodini haijulikani hadi leo. Huu kama siyo unafiki nin nini?

Korokocho
 
Wana JF, kwa kuwa ni mara yangu ya kwanza naomba kuwasalimu wote. Baada ya salamu hizo nami naomba niulize huyo mheshimiwa wa Kigoma na huyu wa Kongwa ni ma house boy wa nani? Nani anayewatuma? Huyu wa Kongwa leo amesema wabunge wachangie mambo waliyotumwa na wananchi wao badala ya kumsema BWM lakini wakati huo huo akatumia muda wake wa kuchangia hoja kumsafisha BWM. Kazi ipo!
 
Ndio Maana Mkapa Hakondi...anajua kila mmoja aliefront ya Vita ya Ufisadi ana mabomu yake...Sie tusubiri tuone...!!!
 
Huyu Mpendazoe ni Mbunge wa Jimbo la Kishapu, Shinyanga na mgodi wa Almasi wa Williamson Diamonds Ltd upo katika jimbo hilo. Mgodi huo uliokuwa ukimilikiwa na De Beers SA uliuzwa kwa $10M kwa kampuni ya Petra UK bila ya TZ Govt, ambaye ni 25% shareholder, kushirikishwa na Mpendazoe akiwa Mbunge wa eneo hilo hajawahi kulizungumza hili hata siku moja. Leo anazungumzia viwanda vingine wakati kilichopo infront of his nose kanyamaza, na hatma ya employees mgodini haijulikani hadi leo. Huu kama siyo unafiki nin nini?

Korokocho

Hiki sasa choo... tena cha shimo!
 
Mkuu Korokocho hii ishu ni nzito sana.
 
YOU DONT KNOW THE POWER OF BIG MOUTH OUT THERE!

Jiulize hivi inakuingia akilini, kwamba serikali ina 25% ya share, kiwanda kinauzwa just for USD 10 mil. bila yenyewe kujua, which means ilipata nothing, then ka mbunge tu ndo kaje kufight hiyo?

Naamini Mpendazoe angefungua mdomo wake kulikemea hilo, ''ajali yake ingesababishwa na helokopta iliyo tua juu ya gari yake kutokana na hitilafu ama hali mbaya ya hewa!''

Mkuu usicheze na mafya, hapa kawagusa tu mafisadi kidogo.. ameisha tafutiwa madhambi ya mwaka 47 angegusa hilo?

Ninacho ona hapa kuna ka mtindo ka kuwatafutia madhambi wale wote wanao gusa maslahi ya mafisadi. Yawe ni ya kweli ama ya kutungwa! Tusisahau hata Mkyembe naye alitafutiwa umiliki wa wa uzalishaji wa umeme wa upepo usio kuwepo!

Kinacho sahaulika ni kwamba, hata mkosoaji akiwa na mapungufu yake, haibatilishi mapungufu aliyo yasema juu ya mafisadi! Tutakula nao tu mpaka kieleweke!.
 
Huyu Mpendazoe ni Mbunge wa Jimbo la Kishapu, Shinyanga na mgodi wa Almasi wa Williamson Diamonds Ltd upo katika jimbo hilo. Mgodi huo uliokuwa ukimilikiwa na De Beers SA uliuzwa kwa $10M kwa kampuni ya Petra UK bila ya TZ Govt, ambaye ni 25% shareholder, kushirikishwa na Mpendazoe akiwa Mbunge wa eneo hilo hajawahi kulizungumza hili hata siku moja. Leo anazungumzia viwanda vingine wakati kilichopo infront of his nose kanyamaza, na hatma ya employees mgodini haijulikani hadi leo. Huu kama siyo unafiki nin nini?

Korokocho

Kwani mgodi wa Almasi wa Williamson Diamonds Ltd una umri wa miaka mingapi? na NEMC ilianzishwa lini na Mpendazoe aliingia lini NEMC?
 
Huyu Mpendazoe ni Mbunge wa Jimbo la Kishapu, Shinyanga na mgodi wa Almasi wa Williamson Diamonds Ltd upo katika jimbo hilo. Mgodi huo uliokuwa ukimilikiwa na De Beers SA uliuzwa kwa $10M kwa kampuni ya Petra UK bila ya TZ Govt, ambaye ni 25% shareholder, kushirikishwa na Mpendazoe akiwa Mbunge wa eneo hilo hajawahi kulizungumza hili hata siku moja. Leo anazungumzia viwanda vingine wakati kilichopo infront of his nose kanyamaza, na hatma ya employees mgodini haijulikani hadi leo. Huu kama siyo unafiki nin nini?

Korokocho

Korokocho............check your facts....Mbunge can only go so far kwenye hilo........nafikiri somewhere in here JF Mgodi wa Diamond limezungumzwa vizuri kwenye moja ya mada.......but anyway....ukiweza kupata Mkataba wa huo Mgodi itakuwa bora zaidi.............kwani what Beers SA is supposed to be doing is spell out there........

mengine kuhusu "kubweka" ni kama nilivyoelezea hapo juu.....
 
korokocho said:
Mgodi huo uliokuwa ukimilikiwa na De Beers SA uliuzwa kwa $10M kwa kampuni ya Petra UK bila ya TZ Govt, ambaye ni 25% shareholder, kushirikishwa

Korokocho,

..sidhani kama DeBeer waliokuwa na hisa 75% wanauwezo wa kuuza mgodi mzima.

..wanachoweza kufanya ni kuuza hizo hisa zao ambazo umeeleza ni 75%

..pia sioni serikali ambayo ina hisa 75% ulitaka ishirikishwe kwa misingi ipi, unless una-suggest kwamba DeBeer walipaswa kuangalia uwezekano wa kuuza shares zao kwa serikali ya Tanzania kabla ya kui-consider Petra ya UK.

..kwa upande mwingine sidhani kama Mpendazoe akiwa kama Mbunge ana say yoyote ile juu ya nini DeBeer/Petra UK wanataka kufanya na shares zao za mgodi wa almasi Mwadui.
 
mzee umefulia! Kwani mpendazoe kakukosea nini mzee? Mengi kakukosea nini mtu wangu,naamini mafisadi wako nyuma yako.we unauchungu kweli na nchi hii au umetumwa na mafisadi? Usihangaishe kutafuta chain kujua mpendazoe alitamka hivi au vile alitetea hiki au kile tunachotaka sasa ni je kinachosemwa kina ukweli gani? Hatutaki upotoshaji siku hizi.mbunge wako tangu aingie bungeni hajawahi kuchangia hata maada yoyote.

kumbe kamgusa shemeji yake phillemon mikael jitu kubwa yaani mstaafu,kwani hamjui mikael akiguswa jitu kubwa basi direct anaguswa dada yao ambaye tunaweza kumuita zoa zoa.
 
kumbe kamgusa shemeji yake phillemon mikael jitu kubwa yaani mstaafu,kwani hamjui mikael akiguswa jitu kubwa basi direct anaguswa dada yao ambaye tunaweza kumuita zoa zoa.

......mtu akitukana akuchaguliii tusi....

na mtu akihishiwa hoja...huanza kutukana watu!!!.....

...siwezi kujadili hilo...
 
Hoja iliyotolewa ni nzito, lakini jinsi hoja ilivyotolewa inanegate msingi wa hoja yenyewe.

a. Hakuna binadamu mwingine anayejua mawazo ya mtu mwingine. Vinginevyo kipimo kile kile kinaweza kutumiwa kwa anayekitumia. Unaposema fulani anawakilisha mawazo ya mtu mwingine unamaanisha unajua kilichomo ndani ya mawazo yake na kuwa si cha kwake.

b. Kama (a) ni kweli basi inabidi tudokezwe mawazo ya mtu mwenyewe hasa ni yapi? Kama Mpendazoe anawakilisha mawazo ya mtu mwingine (nachukia kweli kuitana majina kwa minajili ya kabila), basi mawazo yake yeye ni yapi? Na mtu amejuaje kuwa anawakilisha mawazo ya mtu mwingine?

c. Katika utendaji kazi waziri anatekeleza kwa niaba ya Rais, na afisa wa chini anatekeleza maamuzi ya ngazi za juu. Sasa wakati akiwa NEMC Mpendazoe alitakiwa asimamie mapendekezo au maagizo ya nani? Kama NEMC imeamua jambo x,y na mtu akaenda kulitekeleza je ina maana anatekeleza matakwa ya mtu binafsi katikabodi hiyo? Je mtu asitekeleza majukumu yake kwa sababu ataonekana anawalenga watu fulani?

d. Kwa mfano kuna maeneo mengi ambapo watu wa kabila moja wako kwa wingi katika eneo hilo na mtu akianza kufuatilia na katika orodha yake ikaonekana watu wa kabila hilo ni wengi kuliko watu wengine je ina maana jambo hilo liachwe kwa sababu itaonekana kuwapendelea au kuwaonea watu hao? Mfano, kwa jiji la Dar, viwanda vingapi vikubwa vinamilikiwa na watu wenye asili ya Asia? Sasa mtu ukikusanya kodi au kufuatilia mambo ya mazingira kuna uwezekano wa kiasi gani wa watu hao kuonekana katika majina ya viwanda hivyo?
 
Ni dhahiri wabunge wengi wanaomundama mkapa ukiwaangalia ni wale ambao reginald mengi amekuwa akisafiri nao au kuwa na uswahiba wa karibu naye au mzee malecela na wakati fulani timu ya enl by then na sasa ni maswahiba wa spika wetu samuel sitta.

Sasa mkuu pm nauona ukweli ni kwanini rafiki yangu bonda alikwama 2005 ktk kura za maoni!! Kumbe jamaa alitumia fungu la mzee reginald , kweli hakuna aliye msafi.

Leo wamedadisiana wao kwa wao, hivi kilichotuleta hapa bungeni ni benjamin william mkapa au wale waliotupigia kura? Je wabunge kweli tunatumwa na wananchi wetu walituchagua au tunatumwa na vijikundi/genge la watu? Wamesemezana vizuri sana. Mpendazoe anajua safari imemkuta sasa ameamua kujitoa hadharani kama noma na iwe noma, vyema hukumu tunayo sisi wakuu huku mtaani siku ya kura ya maoni na uchaguzi mkuu.

Jana nimemuangalia kwa huruma sana mama rwakatare, naye alikuwa miongoni mwa walimfagilia mpendazoe, sikumuelewa huyu mama huko nyuma na humu nilithubutu kumtetea kumbe ni walewale bendera fuata upepo. Wananchi wa morogoro tunakuangalia ukijiandaa kuchukua pensheni kwa mgongo wetu, mtumishi wa mungu muogope mungu.
 
mimi nadhani hii issue ipo kichuki binafsi zaidi kuliko ukweli wa mheshimiwa Mpendazoe, kwa sababu mpaka sasa mtoa hoja ajaeleza hasa matatizo ya huyo bwana ni yapi, ningependa niongee hivi, vita vyote vinavyopiganwa duniani ni kwa sababu ya natural resources (Madini,gas, petrol), hiyo ni biashara ya kiMAfia na iko nje ya uwezo wa viongozi wengi wa kiafrika, kuhusu issue ya barrick, hiyo sio issue ya kumlaumu Mpendazoe hata kidogo, migodi yote Tanzania imefunguliwa kabla hata ya kusubmitt hizo EIA, chukua mfano mdogo tu, wakati JK anaingia madarakani alisema kabisa kuanzia sasa mikataba ya madini haitakuwa kama ilivyokuwa mwanzo, lakini cha ajabu Karamagi akaenda kusaini mkataba London tena bila hata ya EIA report,
juzi Bwana Kagasheki kadanganywa dhairi, lakini mpaka leo hao jamaa wanaendelea na kazi, unafikiri ingejkuwa America au Ulaya huo mgodi ungekuwa unafanya kazi?
kwa kweli tafuta point zingine lakini kwenye suala la Barrick au Wiliumson muweke Mpendazoe pembeni kabisa,
 
Mimi nadhani kuwa kuna maswali ya msingi sana ya kujibiwa na pia kuna haja hata huyu mtoa mada angesubiri kwanza ndio aje kutoa mada yake. Sisi wengine tunasema kuwa pengine wakina RA wapo humo
 
..inshaaalah!!!.... amina!!

lakini mjuwe huyu jamaa anao upupu mwingi tu aliacha pale nemc...alipojeuza nemc [akiwa mkurugenzi]...na mwenzake akiwa ..mwenyekiti wa bodi kuwa chombo cha kuwapiga fimbo adui za mwenyekiti na kusahau kuwa tanzania ni kubwa ..na kipindi hicho migodi inaaaza ..alitakiwa ajibu hawakufanya environmental imopact assessment na leo hii watu wanakufa huko.......kama ni wrong doing za nyuma na pia si hizo ni zake???...

siku hizi kila anayepiga vita ufisadi hataki kuambiwa makosa yake ??..huwezi kuwa malaika ghafla kwa kupiga vita ufisadi......au huwezi kupiga vita ufisadi kwa kuchagua wa kumpinga na wengine ...kuwaacha ..thats a dare mistake inafanywa sasa ....kuna mafisadi wanaanikwa na wengine ..wanaachwa...nadhani inapasa wote ikwemo hawa ...waliokuwa wakila pesa za watu ili wafunge viwanda vywa wenzao!
ok nakubaliana na wewe kwamba mpendazoe ni mchafu, sasa unashauri asionge ubaya wa Mkapa au uchafu wowote?
 
Rwabugiri,

Haya ni mawazo ya Zitto kwa msukumo wa Rostam. Hivi ubaya wa Mpendazoe ni kumgusa Mkapa

INAWEZEKANA si kwa sababu kamsema Mkapa, lakini ni kweli inatishia shaka kwamba ni kwanini anaanza kuanikwa baada ya kutoa maoni kwamba ni lazima Mkapa afikishwe kunakohusika akajitee mwenyewe!! Kama mtoa mada hajasukumwa na shutuma za Mpendazoe kwa Mkapa then, it's good!! KEEP IT UP, otherwise ukweli bado utabaki palepale kwamba Mkapa inabidi akajitetee mwenyewe mbele ya vyombo vya sheria na aka-prove beyond reasonable doubt kwamba he is innocent, au angalau tu atujuze wa-TZ ni mazingira gani yaliyowafanya watu wamuone he's not MR CLEAN kama ambavyo alitushawishi tumuamini!
 
Back
Top Bottom