Utendaji wa Fred Mpendazoe akiwa NEMC | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utendaji wa Fred Mpendazoe akiwa NEMC

Discussion in 'Jamii Intelligence' started by Phillemon Mikael, Jul 3, 2009.

 1. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #1
  Jul 3, 2009
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,847
  Likes Received: 2,423
  Trophy Points: 280
  ....huyu ndie federick mpendazoe..akiwa mkurugenzi wa NEMC alitumika kama kikaragosi cha kuyachapa fimbo makampuni yaliyokuwa na ugomvi na mwenyekiti wake....

  ...akiwa pale NEMC ilikuwa kama vile uchafuzi wa mazingira nchi hii unafanyika karibu textiles peke yake...ukilala karibu, ukiamka karibu... na tv zinaporomosha!!

  ...akiwa NEMC kwa kuwa busy na makampuni adui hasi akasahau kupitia vema environmental impact assessment kwenye makampuni mengine kama Barrick na mengineyo hadi yakafunguliwa bila kuwa na mabwawa ya kuchuja adhari za zebaki kwenye maji kabla ya kuyaingiza kwenye mito......unaweza kufikiri ni jambo dogo ....lakini watu wamekufa na kupata ulemavu huko mara na kwenye migodi mingine ... kwa kuwa Frederick Mpendazoe alilala usingizi na NEMC yake ....

  ..viwanda vingi mijini kwa vijijiini vinatiririsha maji machafu havichukuliwi hatua .....tu waliochukuliwa hatua ni karibu kwa kuwa ni adui wa mwenyekiti wake.....

  ...hata yeye na mwenyekiti wake walipoondolewa NEMC kwa kuonekana wazi kuwa biased kwenye maamuzi yao .....hajaacha kuwa houseboy wake hadi leo...na kuendelea kuwakilisha mawazo ya bosi wake bungeni badala ya utashi wake binafsi na zaidi wa wapiga kura wake!!!!

  ...tupinge ufisadi kwa dhati ..lakini kamwe tusisukumwe na chuki binafsi!!!
   
  Last edited by a moderator: Jul 3, 2009
 2. R

  Rwabugiri JF-Expert Member

  #2
  Jul 3, 2009
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 2,777
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Nina wasi wasi pia kilicho kusukuma wewe kuandika yote haya!
   
 3. Tina

  Tina JF-Expert Member

  #3
  Jul 3, 2009
  Joined: Jul 9, 2007
  Messages: 571
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 45
  Rwabugiri,

  Haya ni mawazo ya Zitto kwa msukumo wa Rostam. Hivi ubaya wa Mpendazoe ni kumgusa Mkapa? Mbona kabla hajaongea mlikuwa hamjasema lolote juu yake Mpendazoe? Mwakyembe kakaa kimya sasa, akiongea lazima naye atakuwa anaongea ya kutumwa na mangi sio?

  Mnaanza kuboa sasa
   
 4. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #4
  Jul 3, 2009
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,344
  Likes Received: 3,111
  Trophy Points: 280
  Mzee umefulia! Kwani mpendazoe kakukosea nini mzee? Mengi kakukosea nini mtu wangu,naamini mafisadi wako nyuma yako.We unauchungu kweli na nchi hii au umetumwa na mafisadi? Usihangaishe kutafuta chain kujua Mpendazoe alitamka hivi au vile alitetea hiki au kile tunachotaka sasa ni je kinachosemwa kina ukweli gani? Hatutaki upotoshaji siku hizi.Mbunge wako tangu aingie bungeni hajawahi kuchangia hata maada yoyote.
   
 5. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #5
  Jul 3, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,798
  Likes Received: 157
  Trophy Points: 160
  Tina,

  Hapa sijaelewa nani ni nani? Naomba ufafanuzi please.

  Mangi ni Chadema? au mtoa Mada ndiye Chadema? au?

  Philemon,

  kwani wewe una ugomvi na Mpendazoe (MB)?
   
 6. R

  Rwabugiri JF-Expert Member

  #6
  Jul 3, 2009
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 2,777
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Mkuu, Tina hii mbona sijaipata? fafanua basi labda twaweza unganisha dots. Make hapa mleta mada kaongelea huyo mpendazoe alivo na chuki binafsi na kumtumikia Mengi hadi bungeni. Mimi nilipatwa na wasi wasi kwamba huenda nayeye ni chuki binafsi ndo ilimsukuma kuandika yote haya ama naye anamtumikia mtu wake. Sasa hii ya Zitto kusukumwa na RA inahusikaje hapa?
   
 7. Tina

  Tina JF-Expert Member

  #7
  Jul 3, 2009
  Joined: Jul 9, 2007
  Messages: 571
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 45
  Ba Enock,

  Edited.

  PM anaelewa namaanisha nini kumuunganisha na Zitto. Itabidi wabunge wakae kimya wasiwaguse watu kama Mkapa ili wasije wakachafuliwa ama kuhusishwa na mangi.
   
 8. Josh Michael

  Josh Michael JF-Expert Member

  #8
  Jul 3, 2009
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,525
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Mbona mimi sijaelewa kabisa, Mara CHADEma mara Mpendazoe?? Sasa tuelewe nini, Mara house boy?? Mbona sasa mnakuwa na Chuki Binafsi sasa wanaJF??
   
 9. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #9
  Jul 3, 2009
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,847
  Likes Received: 2,423
  Trophy Points: 280
  acheni speculations ..hit the road..hypothesis..and reasons!!!

  ....mimi always huandika kama mimi...na mwenendo wa huyu bwana tangu NEMC upo...!
   
 10. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #10
  Jul 3, 2009
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Okay PM, sasa kwanini umeanzisha mjadala huu wakati huu?
   
 11. R

  Rwabugiri JF-Expert Member

  #11
  Jul 3, 2009
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 2,777
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Tina na PM, kama hamtaki tujue mnayo yajua kwanini myalete hapa jamvini?
   
 12. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #12
  Jul 3, 2009
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,847
  Likes Received: 2,423
  Trophy Points: 280

  ..nataka tufanye insight ya huyu jamaa tatujapata kumuweka kwenye vipimo vyetu...mwisho tuta conclude ni mtu wa aina gani....mimi kama mimi kwa mawazo yangu na vyanzo vyangu vya tangu zamani na sasa ...nimechokoza hoja kwa kueleza niliyoeleza....uwanja upo wazi...lets hit the road!!!
   
 13. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #13
  Jul 3, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Tina hii inaitwa piga nikupige ndo hii sisi wadau yetu macho.
   
 14. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #14
  Jul 3, 2009
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Mwenyewe ndo maana nikaona niulize ili kuweka mambo sawa...
  Kuna mengi naamini mkuu unayo juu ya jamaa hawa, binafsi ndiyo kwanza najua Mpendazoe alikuwa NEMC pia.

  Mkiandika mambo kwa kirefu mnakuwa mnatufumbua macho wengi wetu. Hata uliposema mangi sikujua unasema Mengi, mpaka alipoandika mdau mmoja hapo juu
   
 15. Josh Michael

  Josh Michael JF-Expert Member

  #15
  Jul 3, 2009
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,525
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Au kwasababu alisema jana kule Bungeni?? kuna docs hapa lakini inatubidi useme ni ipi??
   
 16. K

  KAPONGO JF-Expert Member

  #16
  Jul 3, 2009
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 1,374
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Tumwombee Bw. Phillemon ili mungu amnusuru atoke gizani aje kwenye nuru angavu na kikubwa na kuondokana na utumwa wa kutumikia fikra za kifisadi.
   
 17. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #17
  Jul 3, 2009
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Lazima tutofautiane katika hoja mkuu... Mi siamini kama mtu anapokuja na hoja lazima uwe ndio mtizamo wake tu, anaweza kuwa anawakilisha mawazo ya watu elfu nyuma yake...

  Ni vema kaja na hili wengine tukafumbuka macho na kujua mitizamo ya watu ikoje dhidi ya Mpendazoe... Kudos mkuu Phillemon Mikael
   
 18. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #18
  Jul 3, 2009
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,847
  Likes Received: 2,423
  Trophy Points: 280
  ..inshaaalah!!!.... amina!!

  lakini mjuwe huyu jamaa anao upupu mwingi tu aliacha pale nemc...alipojeuza nemc [akiwa mkurugenzi]...na mwenzake akiwa ..mwenyekiti wa bodi kuwa chombo cha kuwapiga fimbo adui za mwenyekiti na kusahau kuwa tanzania ni kubwa ..na kipindi hicho migodi inaaaza ..alitakiwa ajibu hawakufanya environmental imopact assessment na leo hii watu wanakufa huko.......kama ni wrong doing za nyuma na pia si hizo ni zake???...

  siku hizi kila anayepiga vita ufisadi hataki kuambiwa makosa yake ??..huwezi kuwa malaika ghafla kwa kupiga vita ufisadi......au huwezi kupiga vita ufisadi kwa kuchagua wa kumpinga na wengine ...kuwaacha ..thats a dare mistake inafanywa sasa ....kuna mafisadi wanaanikwa na wengine ..wanaachwa...nadhani inapasa wote ikwemo hawa ...waliokuwa wakila pesa za watu ili wafunge viwanda vywa wenzao!
   
 19. M

  Masatu JF-Expert Member

  #19
  Jul 3, 2009
  Joined: Jan 29, 2007
  Messages: 3,285
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Kuna mtu kaiba password ya Philemon Michael....
   
 20. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #20
  Jul 3, 2009
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Why mkuu?
   
Loading...