Utendaji wa Fred Mpendazoe akiwa NEMC

..inshaaalah!!!.... amina!!

lakini mjuwe huyu jamaa anao upupu mwingi tu aliacha pale nemc...alipojeuza nemc [akiwa mkurugenzi]...na mwenzake akiwa ..mwenyekiti wa bodi kuwa chombo cha kuwapiga fimbo adui za mwenyekiti na kusahau kuwa tanzania ni kubwa ..na kipindi hicho migodi inaaaza ..alitakiwa ajibu hawakufanya environmental imopact assessment na leo hii watu wanakufa huko.......kama ni wrong doing za nyuma na pia si hizo ni zake???...

siku hizi kila anayepiga vita ufisadi hataki kuambiwa makosa yake ??..huwezi kuwa malaika ghafla kwa kupiga vita ufisadi......au huwezi kupiga vita ufisadi kwa kuchagua wa kumpinga na wengine ...kuwaacha ..thats a dare mistake inafanywa sasa ....kuna mafisadi wanaanikwa na wengine ..wanaachwa...nadhani inapasa wote ikwemo hawa ...waliokuwa wakila pesa za watu ili wafunge viwanda vywa wenzao!

lakini mkuu mi sijafurahishwa na approach yako, hapa we dare to talk openly, sasa unakuja na mafumbofumbooooo ukitaka twende librally kusakanya data!

Huyo Tina ndo kabisaa anadai muunganiko wa Zitto hapa kwa msukumo wa RA nyinyi mnaujua? if your dare just dare wakuu..
usitufanye tubaki na maswali lukuki hadi tufikirie kwamba pengine nawewe ni chuki zako ama kuna msukumo pembeni unao kufanya uandike haya!

Lete data mkuu, Hili la Barriki kutokaguliwa mazingira kabla ya kuanzishwa mbona liko wazi mkuu, kwani hata ile Buzwagi saga, ilisainiwa Londoni kabla hata ya hicho kibali cha ukaguzi, na ilisemwa bungeni japo wakaipindisha kwa kugonga meza CCM CCM! na kila mtu alijua aliye kuwa nyuma ya 'voda fasta hiyo' yes, mwenye hisa mkuu aliyetukuka.

Kama alifanya ufisadi huko NEMC uweke wazi siyo kuunga unga mara nemc mara houseboy, mara chuki binafsi , mara msukumo wa RA, very confusing!
 
Tatizo kubwa la wezi wakiguswa hujibu hoja kwa kusema, "Hata anayetupigia kelele za mwizi na yeye mwizi", walianza kwa Mwakyembe, ambaye sasa kanyamaza na wao wamemuacha. Ni mbinu ya kunyamazishana. Mpendazoe hakuwa issue, lakini sasa kwa kuwa kaanza kusema, ameanza kuianikwa. Why PM kama ulijua anasababisha watu kufa katika migodi ukanyamaza? Na wewe PM ni muuaji maana ulinyamazia hadi atajwe MKapa ndio umseme Mpendazoe. Nadhani hii mada ni kutaka kuzima hoja. Mimi napinga na nitapinga mpaka mwisho hii tabia ya kujibu mapigo. Bahati nzuri Slaa alipambana lakini alianza kuandamwa kwamba na yeye ni mwizi, Zitto naye aliandamwa sana wakati wa Buzwagi na wengine wengi. Tuseme mambo wakati mwafaka si mpaka mtu alipue jambo ndio tumuandame.

Nilishwahi kusema hapa, hata ikitokea mwizi ama mtuhumiwa mkuu wa kesi yoyote akitoa siri ya wezi, tuache kukamata wezi kwa sababu eti aliyetoa siri ni mwizi!??? Hapana. Mbinu za kipelelezi zinatuambia kwamba mtoa taarifa za uhalifu hata akiwa mhalifu, fanyia kazi taarifa kwanza na mara nyingi taarifa za mhalifu, awe ametubu ama bado ni mhalifu, huwa na ukweli mwingi zaidi. JF isitumike kukatisha watu tamaa. JF akiwamo PM wamekuwa wakisema sana kuhusu Mkapa, sasa Mpendazoe kakosea?
 
Just read between the lines you will see.....

Acheni UNAFIKI, Mh Zitto alipounga mkono wazo la kuiuzia Tanesco mitambo ya Dowans mbona mlimsakama?

Haijalishi kuwa anaesemwa ni Fisadi au mpinga fisadi, wengine wanapinga mafisadi huku wao wenyewe ni Mafisadi.

Hata akiharibu Dr Slaa hapa tutamsema tu .

Huyu bwana inajulikana wazi juhudi zake za kuandama viwanda vya wahindi alipokuwa NEMC.

Na hili la kutofanya Environmental impact assessment hawezi kusamehewa hata kidogo. Hili limegharimu maisha ya wa Tanzania.

Kuna tofauti gani kati ya mwizi wa hela za EPA anaeiba na wananchi kufariki mahospitalini na huyu bwana anayeacha kufanya kazi zake kwa chuki binafsi na sasa wananchi kule Nyamongo wanafariki na mifugo kufariki?!

Woote ni sawa tu.

Kudos Phil Michael

FP
 
Nina wasi wasi pia kilicho kusukuma wewe kuandika yote haya!
True Rwabugiri This Philly boy , is not being objective! What he argues in his thread is besides what is advocated by Mpendazoe.He has a one up.
Trying to water him down?
 
Mkuu Mpendazoe hajakosea. Tunamshukuru na tunamuunga mkono, Ila nae alipokuwa NEMC alichemsha sana.

Suala la kumuunganisha na Mengi hapo simo. Ila naye alitumia ofisi vibaya kama Mkapa alivyotumia ofisi.

Kusema aendelee tu kusema.
 
True Rwabugiri This Philly boy , is not being objective! What he argues in his thread is besides what is advocated by Mpendazoe.He has a one up.
Trying to water him down?

Could be, but dont you see that there is an issue to discuss?
 
lakini mkuu mi sijafurahishwa na approach yako, hapa we dare to talk openly, sasa unakuja na mafumbofumbooooo ukitaka twende librally kusakanya data!

Huyo Tina ndo kabisaa anadai muunganiko wa Zitto hapa kwa msukumo wa RA nyinyi mnaujua? if your dare just dare wakuu..
usitufanye tubaki na maswali lukuki hadi tufikirie kwamba pengine nawewe ni chuki zako ama kuna msukumo pembeni unao kufanya uandike haya!

Lete data mkuu, Hili la Barriki kutokaguliwa mazingira kabla ya kuanzishwa mbona liko wazi mkuu, kwani hata ile Buzwagi saga, ilisainiwa Londoni kabla hata ya hicho kibali cha ukaguzi, na ilisemwa bungeni japo wakaipindisha kwa kugonga meza CCM CCM! na kila mtu alijua aliye kuwa nyuma ya 'voda fasta hiyo' yes, mwenye hisa mkuu aliyetukuka.

Kama alifanya ufisadi huko NEMC uweke wazi siyo kuunga unga mara nemc mara houseboy, mara chuki binafsi , mara msukumo wa RA, very confusing!

PM inaonekana hana data za kutosha ila ana chuki na mpendazoe au ana maslahi na RA. Wakati Mpendazoe na Mengi wako NEMC na walipo kuwa wanapambana na uchafuzi wa mazingira uliokua unafanywa na Karibu textile pale mbagala mtoni, hizo zilikuwa ni juhudi kabisa za maksudi ili kuokoa maisha ya waTZ wanaoishi pale na kumbuka wananchi walifikia hatua ya kwenda kulalamika jiji.

Hoja ya kwamba NEMC iliwaandama KTM na kuacha migodi bila kuifanyia EIA, hili ni tatizo ambalo siyo migodi tu bali hata maeneo mengine mengi nchini hayaja fanyiwa EIA. uangalie pia uwezo wa kifedha wa NEMC na majukumu iliyonayo.

Ila kwa upande mwingine najua PM amehamaki kwa sababu mpendazoe amemgusa fisadi mkapa. Kumlaumu Mpendazoe eti kwa kuwa kamsema fisadi mkapa unamuonea, na kama ni issue ya madhambi ya mpendazoe basi tutajie ufisadi aliofanya mpendazoe na siyo hatua alizochukua zilizokuwa na tija kwa taifa na hasa kuokoa maisha ya wakazi wa mtoni mbagala.

Nitaendelea...........
 
....huyu ndie federick mpendazoe..akiwa mkurugenzi wa NEMC alitumika kama kikaragosi cha kuyachapa fimbo makampuni yaliyokuwa na ugomvi na mwenyekiti wake....

...akiwa pale NEMC ilikuwa kama vile uchafuzi wa mazingira nchi hii unafanyika karibu textiles peke yake...ukilala karibu, ukiamka karibu... na tv zinaporomosha!!

...akiwa NEMC kwa kuwa busy na makampuni adui hasi akasahau kupitia vema environmental impact assessment kwenye makampuni mengine kama Barrick na mengineyo hadi yakafunguliwa bila kuwa na mabwawa ya kuchuja adhari za zebaki kwenye maji kabla ya kuyaingiza kwenye mito......unaweza kufikiri ni jambo dogo ....lakini watu wamekufa na kupata ulemavu huko mara na kwenye migodi mingine ... kwa kuwa Frederick Mpendazoe alilala usingizi na NEMC yake ....

..viwanda vingi mijini kwa vijijiini vinatiririsha maji machafu havichukuliwi hatua .....tu waliochukuliwa hatua ni karibu kwa kuwa ni adui wa mwenyekiti wake.....

...hata yeye na mwenyekiti wake walipoondolewa NEMC kwa kuonekana wazi kuwa biased kwenye maamuzi yao .....hajaacha kuwa houseboy wake hadi leo...na kuendelea kuwakilisha mawazo ya bosi wake bungeni badala ya utashi wake binafsi na zaidi wa wapiga kura wake!!!!

...tupinge ufisadi kwa dhati ..lakini kamwe tusisukumwe na chuki binafsi!!!

Kuna mtu kaiba password ya PM, na mimi naamini hilo, huyu sio yule tunayemfahamu.
 
Umejuaje kuwa anajadiliwa kwasababu ya Mkapa?, au kwasababu timing zimegongana?

Zaidi ya hilo, Hoja yako nzuri mkuu.
 
Du humu ndani kuna watu wamekula YAMINI ya kumfia mtu kwa kumtetea hata kama akikutwa kwenye banda la KUKU anaiba. kuna msitari mmoja kwenye maandiko matakatifu kuwa MKE WA MFALME SI TU HATAKIWI KUTENDA DHAMBI BALI HATA KWA KUHISIWA KUWA KATENDA DHAMBI.
Heri yetu tusiokuwa na upande maisha TAMBARAAREEEEE nyie endeleeni kuumana kwa kutetea maslahi binafsi......lakini ukweli tunauona.......
 
PM, Serukamba ni kaka au mdogo wako? mwaka huu tutaona mengi na mtatafuta vijisababu vya kuzima hoja za ufisadi bila mafanikio.

Nani kakwambia moto huzimwa kwa moto? Kutuambia madhambi ya Mpendazoe hakuwezi kuzima madhambi ya Mkapa.

Zaidi sana Mkapa aende Mahakamani mkondo wa sheria uchukue nafasi yake.
 
....huyu ndie federick mpendazoe..akiwa mkurugenzi wa NEMC alitumika kama kikaragosi cha kuyachapa fimbo makampuni yaliyokuwa na ugomvi na mwenyekiti wake....

...akiwa pale NEMC ilikuwa kama vile uchafuzi wa mazingira nchi hii unafanyika karibu textiles peke yake...ukilala karibu, ukiamka karibu... na tv zinaporomosha!!

...akiwa NEMC kwa kuwa busy na makampuni adui hasi akasahau kupitia vema environmental impact assessment kwenye makampuni mengine kama Barrick na mengineyo hadi yakafunguliwa bila kuwa na mabwawa ya kuchuja adhari za zebaki kwenye maji kabla ya kuyaingiza kwenye mito......unaweza kufikiri ni jambo dogo ....lakini watu wamekufa na kupata ulemavu huko mara na kwenye migodi mingine ... kwa kuwa Frederick Mpendazoe alilala usingizi na NEMC yake ....

..viwanda vingi mijini kwa vijijiini vinatiririsha maji machafu havichukuliwi hatua .....tu waliochukuliwa hatua ni karibu kwa kuwa ni adui wa mwenyekiti wake.....

...hata yeye na mwenyekiti wake walipoondolewa NEMC kwa kuonekana wazi kuwa biased kwenye maamuzi yao .....hajaacha kuwa houseboy wake hadi leo...na kuendelea kuwakilisha mawazo ya bosi wake bungeni badala ya utashi wake binafsi na zaidi wa wapiga kura wake!!!!

...tupinge ufisadi kwa dhati ..lakini kamwe tusisukumwe na chuki binafsi!!!

Sasa mafisadi naona mnakuja na staili yenu ya kujitetea, sijawahi kuiona kokote duniani zaidi ya michezo ya kitoto, KAANZA YEYE KUNIPIGA NA MIMI NIKAMRUSHIA.

Rostam alipotuhumiwa na Mengi (Mangi) na kuitwa Papa la Ufisadi badala ya kujibu tuhuma akaja na tuhuma dhaifu dhidi ya Mengi akimwita Nyangumi wa ufisadi.

PM naye kaja na uchafuzi wa Mazingira dhidi ya Mpendazoe akiwa NEMC, haya ndiyo ya Majibu alutumwa na Mkapa dhidi ya Ufisadi wake.

Acheni kupindisha hoja, sisi siyo Mabwege bwana. Hivi mafisadi mnataka kutuambia alichokifanya Mpendazoe akiwa NEMC ni sawa na Walichokifanya watawala waliowaleta wachimba wa Madini na kuingia nao Mikataba ya kinyonyaji.

PM nenda katubu kwa paroko na uwarushie maskini mali ulizowaibia kama ilivyokuwa kwa Zakayo. Nakuombea leo wewe na Mkapa mkutane na Yesu naye aishi ndani ya mioyo yenu
 
Mpendazoe unavyomjua wewe usilazimishe na watu wengine wamjue kama unavyopenda wewe. Alichofanya NEMC kinajulikana kwani hakuwa msemaji wa Wizara ya Mazingira ambayo ndo inawajibika. Na baada ya hilo sakata kulishighulikia Lowasa likaingizwa kwenye Siasa bado NEMC ndo suruhu ya mwisho kuhusu Karibu Textile baada ya wananchi kusoteshwa.

Mwacheni Mkapa ajisimamie mwenyewe na utajiri wake angalau tunaweza kurudishiwa kidogo kama ambavyo wanaanza kurudisha Kiwira. Vipo vingi kuna Benki M n.k. wacha wapige kelele apunguze kidogo utajiri kunawananchi masikini saana. Na usikute wewe bibi yako anatumia kibatari lakini kwa kuchonga kutetea !!!
 
..inshaaalah!!!.... amina!!

lakini mjuwe huyu jamaa anao upupu mwingi tu aliacha pale nemc...alipojeuza nemc [akiwa mkurugenzi]...na mwenzake akiwa ..mwenyekiti wa bodi kuwa chombo cha kuwapiga fimbo adui za mwenyekiti na kusahau kuwa tanzania ni kubwa ..na kipindi hicho migodi inaaaza ..alitakiwa ajibu hawakufanya environmental imopact assessment

Kama Mwenyekiti wa Bodo angekuwa bifu basi angeanzia kwenye hivyo viwanda vya Barrik. Kuingilia Kiwanda ya Karibu Textile ni baada ya wananchi kuandamana hadi kwake ndo Bodi nzima ilikaa na kutoa uamuzi kuchukulia hatua watu wote wanaozunguka kile kiwanda wasihathirike na hayo maji machafu!!!! Nimegundua kwenye JF kuna wajumbe wanapenda au walizaliwa wakiwa au wanaendekeza Uongo!!!!
 
Acheni UNAFIKI, Mh Zitto alipounga mkono wazo la kuiuzia Tanesco mitambo ya Dowans mbona mlimsakama?

Haijalishi kuwa anaesemwa ni Fisadi au mpinga fisadi, wengine wanapinga mafisadi huku wao wenyewe ni Mafisadi.

Hata akiharibu Dr Slaa hapa tutamsema tu .

Huyu bwana inajulikana wazi juhudi zake za kuandama viwanda vya wahindi alipokuwa NEMC.

Na hili la kutofanya Environmental impact assessment hawezi kusamehewa hata kidogo. Hili limegharimu maisha ya wa Tanzania.

FP

NEMC haina pesa ya kufanya EIA kila kiwanda cha Tanzania. Badala ya kulaumu NEMC ilaumu Wizara ya Mazingira ambayo ndo inaomba pesa Serikalini. Kwanza hata hiyo sheria ya Mazingira ilikuwa haijapitishwa na Bunge enzi hizo za Mpendazoe. Ungejua 90% ya Viwanda Tz vyote ni vya wahindi na vyote ni vichafuzi wa Mazingira usingesema!!!! hawa watu ni wabaya hawaruhusu mtu kuingia kufanya ukaguzi wowote ndani hata Afisa Afya wa jiji achana na NEMC.
 
Hata akiharibu Dr Slaa hapa tutamsema tu .

Huyu bwana inajulikana wazi juhudi zake za kuandama viwanda vya wahindi alipokuwa NEMC.

Na hili la kutofanya Environmental impact assessment hawezi kusamehewa hata kidogo. Hili limegharimu maisha ya wa Tanzania.

Kuna tofauti gani kati ya mwizi wa hela za EPA anaeiba na wananchi kufariki mahospitalini na huyu bwana anayeacha kufanya kazi zake kwa chuki binafsi na sasa wananchi kule Nyamongo wanafariki na mifugo kufariki?!

Woote ni sawa tu.

Kudos Phil Michael

FP

FP,

Nakubaliana na wewe 100%.Lakini naomba nikuuliza maswali haya;
- NEMC wamekuwa washauri wa serikali kuhusu mazingira until the Environmental Management Act ilipopitishwa mwaka 2004. Before that sector inayohusika ndo ilikuwa inadeal na Enviornment. NEMC hawakuwa na mandate ya kuiningilia issue yoyote kama hawajaelekezwa na Wizara husika. I was there na hili nina uhakika nalo. Kwa hio era ya wahindi ilitoka kwa wenye sector sio. Nakumbuka Mengi alikuwa chair na majority of time Dr. Ngoile ndo alikuwa DG and now is Eng. Baya. Unakumbuka Mpendazoe alikuwa NEMC miaka gani? Unafahamu wasifu wake baada ya kutoka NEMC huku alikoenda? Binafsi sijawah kufanya nae kazi but alienda Wizara ya Maji.
- Sheria ya Madini ya mwaka 1999 ndo inayotaka migodi ime na hati ya mazingira pamoja na Environmental Management Plan (EMP). Migodi yote ya Barrick imeanzishwa baada ya hii sheria kasoro ule wa Resolute kule shinyanga. Wakati nafanya kazi na Songas sijawahi hata siku moja kuona mkono wa NEMC ila baada ya sheria ya mazingira yaani 2004 ndo nimeanza kuwasikia. tena hawana nguvu kihivyo kama unavofikiri. Unafikiri wakati wanawasumbua wahindi walitumia sheria gani? Unajua pamoja na kuwa na sheria za mazingira hakuna kanuni zinazojitosheleza kuratibu hii sheria?
- Unaijua Division of Enviromment under Vice President? kazi yao kubwa ni kuandaa sera na NEMC works under this department.
- Kama kweli migodi ya barrick haikuwa na EMP wakati ilifunguliwa chini ya sheri ya madini ya mwaka 1999, ni kwanini akina tusiwasulubu watu pale wizarani?
 
Acheni UNAFIKI, Mh Zitto alipounga mkono wazo la kuiuzia Tanesco mitambo ya Dowans mbona mlimsakama?

Haijalishi kuwa anaesemwa ni Fisadi au mpinga fisadi, wengine wanapinga mafisadi huku wao wenyewe ni Mafisadi.

Hata akiharibu Dr Slaa hapa tutamsema tu .

Huyu bwana inajulikana wazi juhudi zake za kuandama viwanda vya wahindi alipokuwa NEMC.

Na hili la kutofanya Environmental impact assessment hawezi kusamehewa hata kidogo. Hili limegharimu maisha ya wa Tanzania.

Kuna tofauti gani kati ya mwizi wa hela za EPA anaeiba na wananchi kufariki mahospitalini na huyu bwana anayeacha kufanya kazi zake kwa chuki binafsi na sasa wananchi kule Nyamongo wanafariki na mifugo kufariki?!

Woote ni sawa tu.

Kudos Phil Michael

FP

wamiliki wa barick kabla ya kufanya application yeyote walienda ikulu kwanza na baada ya hapo kila kitu ni rubber stamp

na ukiangalia kila investor mkubwa anaenda ikulu kwanza, acheni kumsingizia mpendazaoe

mkurugenzi wa sasa hivi wa barrick ni moja ya vijana wa ccm na barick ni moja ya makampuni yanayochangia chama leo hii kumpa jamaa lawama sio sahihi kabisa

baada ya jamaa kuondoka mbona hao waliomfatia hawajafanya chochote kuhusu barrick....
naona hii thread ya mahususi kwa kumjengea chuki jamaa.....

ukiwa upendi mafisadi unaambiwa wewe ni shabiki wamangi
Huyu bwana inajulikana wazi juhudi zake za kuandama viwanda vya wahindi alipokuwa NEMC.

kuhusiana na viwanda vya wahindi, RA amehakikisha vodacom wa supplier wakubwa wote waindi na ukienda kwenye kampuni za waindi watu wote wa juu ni wahindi wewe ulioni hilo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom