Utekaji na Mauaji ya Watu Si tu Kwa sababu ya Urais wa Miaka 5, ni Kwa sababu ya Hatima ya Wachina na Waarabu !! Wanajua Samia akianguka,hawana Chao!

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
28,749
Reaction score
91,814
Haingii akilini , Utekaji na Mauaji yaloshamiri Et uwe tu sababu ya Urais !! Hapana !!.

Huyu Rais alikataliaa na Magufuli katakata, Magufuli alimkataa katakata, hakutaka hata awe Makamo wake, ni basi tu alichomekewa.

Na Kwa Mapenzi ya Mungu na Ubovu wa Katiba yetu, Samia akawa Rais wa Bahati nayeye alikiri hili!!.

Haya tuseme amekoswa Jicho la Roho na amenogewa na Urais, akihisi anahitaji uchaguzi ili kujimwambafai kua nayeye anaweza kua Rais wa Kampeni na kuchaguliwa , Sasa ikiwa ni hivo, haya mauaji na utekaji ni yanini? Yaan itakufaa nini kua Rais baada ya kuteka na kuua Mamia Kwa Mamia?.

Hisia zangu zinakataa kuamini kua ni sababu ya Urais.

Kuna Mabilioni ya Wachina na Waarabu kuanzia MAPIKIPIKI n.k, Mabilioni hayo yamesambaa mpaka Kwa Wakuu wa Vyombo vya Dola, in turn Serikali ikawapa Ngorongoro, Misitu, Bandari, Migodi , Mwendokasi ,Bandari Bagamoyo , na Kukosekana Kwa uhakika wa Hatima ya Uhai wa Wachina na Waarabu ,ndio kunafanya Leo watanzania Wanatekwa, wanauwawa !!.

Watanzania Wanatekwa , kuuliwa na Wachina na Waarabu kupitia Serikali ya Rais Samia !!!
 
Dah
IMG-20250608-WA0005.jpg
 
Mkuu kweli huyu mama anakosea sana. Lakini kusema
Acha kabisa Mkuu.

Magufuli alitenda, ila Kwa haya ya Sasa hapana !!

Yaan MTU anaona UHAI wa mwenzake sio kitu??.

Ninaanza kuamini zile tetesi, kua Kuna Vikundi vya Kiislam Msimamo Mkali vya kutokea Zanzibar ndivo vinatekeleza haya !!.
Mkuu kweli mama anakosea sana. Lakini kusema bora Jiwe ni makosa makubwa sana. Jiwe hata huko alipo ni bora afe tena
 
Acha kabisa Mkuu.

Magufuli alitenda, ila Kwa haya ya Sasa hapana !!

Yaan MTU anaona UHAI wa mwenzake sio kitu??.

Ninaanza kuamini zile tetesi, kua Kuna Vikundi vya Kiislam Msimamo Mkali vya kutokea Zanzibar ndivo vinatekeleza haya !!.
kah!
 
Haingii akilini , Utekaji na Mauaji yaloshamiri Et uwe tu sababu ya Urais !! Hapana !!.

Huyu Rais alikataliaa na Magufuli katakata, Magufuli alimkataa katakata, hakutaka hata awe Makamo wake, ni basi tu alichomekewa.

Na Kwa Mapenzi ya Mungu na Ubovu wa Katiba yetu, Samia akawa Rais wa Bahati nayeye alikiri hili!!.

Haya tuseme amekoswa Jicho la Roho na amenogewa na Urais, akihisi anahitaji uchaguzi ili kujimwambafai kua nayeye anaweza kua Rais wa Kampeni na kuchaguliwa , Sasa ikiwa ni hivo, haya mauaji na utekaji ni yanini? Yaan itakufaa nini kua Rais baada ya kuteka na kuua Mamia Kwa Mamia?.

Hisia zangu zinakataa kuamini kua ni sababu ya Urais.

Kuna Mabilioni ya Wachina na Waarabu kuanzia MAPIKIPIKI n.k, Mabilioni hayo yamesambaa mpaka Kwa Wakuu wa Vyombo vya Dola, in turn Serikali ikawapa Ngorongoro, Misitu, Bandari, Migodi , Mwendokasi ,Bandari Bagamoyo , na Kukosekana Kwa uhakika wa Hatima ya Uhai wa Wachina na Waarabu ,ndio kunafanya Leo watanzania Wanatekwa, wanauwawa !!.

Watanzania Wanatekwa , kuuliwa na Wachina na Waarabu kupitia Serikali ya Rais Samia !!!
Mawazo yako ni kama yangu kwa asilimia zote. Kuna watu wamewekeza na wametaka kuhakikishiwa kuwa CCM ni lazima iendelee kutawala. Hasa waarabu ndiyo wenye roho mbaya za kuua wapinzani. Huwa wanaona watu weusi ni kama nyani tu. Wamehonga mpaka wapinzani wengi ili tu wahakikishe maslahi yao hayatetereki.
 
Unamaanisha samia ametuuza kwa waarabu na wachina?
 
Tafakuri mzuri sana!
 
Mawazo yako ni kama yangu kwa asilimia zote. Kuna watu wamewekeza na wametaka kuhakikishiwa kuwa CCM ni lazima iendelee kutawala. Hasa waarabu ndiyo wenye roho mbaya za kuua wapinzani. Huwa wanaona watu weusi ni kama nyani tu. Wamehonga mpaka wapinzani wengi ili tu wahakikishe maslahi yao hayatetereki.
Hakika Mkuu, ndicho kinachoendelea
 
Hii naweza kuamini mana sio kwa roho mbaya inayoendelea kati ya wananchi na serikali ya ccm,na hakuna mfanyabiashara anaekubali hasara.
 
Back
Top Bottom