Utawala wa majimbo uanze na Katiba Mpya

spencer

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
3,599
3,220
GreatThinkErs,

Kama kweli tuna nia kuendeleza nchi yetu, mi naona kila MKOA/JIMBO ihangaike na maendeleo yake.

Hofu ya mikoa ya Singida na Dodoma kuwa haina kitu tuitoe sasaivi kuna Uranium .Lakini pia Umeme wa Upepo utaokao zalishwa na unaweza kuuzwa ktk majimbo ya jarani na kuingiza pesa ya kutosha jimbo husika.

Mikoa ya kusini kama Mtwana kuna mafuta/gesi ya Songosongo/Athumas wauze umeme pia majimbo ya jirani ili kuipa kupata kipato kwa majimbo husika.

Mikoa iliyobakia yote inarasilimali nzuri na nyingi sana, lakini kila kitu kiko chini ya kundi la watu kama MIA TU wakiongozwa na Vinara wao Mafisadi wanaivuruga hii inchi.

Nina imani sana tunaweza kusonga.

Wadau mnasemaje kwa wazo hili!:peep:
 
Back
Top Bottom