Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Makubwa!, sikushauli umpe hata hiyo simu kwakuwa huo sio mtaji wa kuchumia pesa. Pia raha ni kwa wote kwanini yeye adai malipo au ofa baada ya kazi, Lakini wajinga ndo waliwao chunguza kwa makin kabla ya kufanya jambo,kama mlipatana kwa mkataba huo sio mbaya, lakin unapo mtafuta mtu usimpe story za uongo ongeeni ukweli kabisa.
 
Simu mbona ishu ndogo tu ungepigwa mzinga wa kodi ya sinza je?
 
Bora amekuomba simu ili uewze kuwasiliana naye,angekwambia dogo amerudishwa shule kisa hana ada ungefanyaje?
 
535852_357666904282819_100001185365487_902206_807384955_n.jpg na mambo kama yanahusika kwenye MAPENZI
 
We kamanda hata puli unatumia mafuta au sabuni na hizo ni gharama
sasa wewe unaona kazi kununua simu?
 
Duh. Mkuu pole..mimi ilinitokea baada ya gemu next day kaniambia amepoteza ATM card yake na anahitaji kufanya mananuzi ili asafiri next the following day..since it was weekend there was no way angeweza kuichukua card yake..ikabidi niumize kichwa kuokoa jahazi lakini nilishajua ni uwongo ila mwanaume ikabidi niwe mpole..Wadada mara nyingine muwe na huruma kwa kaka zenu..
 
Itakua karaha kwa wale wabahili au wenye msimamo...lakini kwa wale wanaopenda kutoa hayo ni mapenzi ya kweli kabisa! tena wengine hutoa hata bila kuombwa, kaka hiyo si ya bure japo za bure zipo nyingi tu "just be responsible"
 
Duh. Mkuu pole..mimi ilinitokea baada ya gemu next day kaniambia amepoteza ATM card yake na anahitaji kufanya mananuzi ili asafiri next the following day..since it was weekend there was no way angeweza kuichukua card yake..ikabidi niumize kichwa kuokoa jahazi lakini nilishajua ni uwongo ila mwanaume ikabidi niwe mpole..Wadada mara nyingine muwe na huruma kwa kaka zenu..

ndenga... Nokelya mshiki??
 
Wenzio tunapotongoza tu tunaambiwa 'sina simu hii ni ya dada'
ukitaka mawasiliano ninunulie na tunanunua..

wewe umeambiwa after kupewa tunda na unaona unachunwa?

akinunuliwa na mwingine utalalamika kutuma vocha ????

:biggrin1: huyu atakua mchaga huyuu
 
sasa wee unadhani K yatolewa bure...lazima uilipie kwa namna moja au nyingine.

dah kazi kweli ,hivi nyie mijianaume mnaona ni sifa sana kunanli afu mnatangaza kwanza aibu zako wee mtoa mada GOD IS WATCHING you mnapo nanlii ,dah wadada wananikera sana wajameni kila siku wanagawa zawadi ya ushindi duh hivi ndo nyie wanaume waga mnakuwa mnatutega ili muone msimamo wetu ama mna test zali(shake well before use) ? afu mtoa mada ukuimaliza kunanli unaanza ooho mimi natafuta msichana BIKRA wa kumuoa huku ulisha chinja bata kadhaa dah HIKI NI KIZAZI CHA NYOKA NA NGONO manake kila siku mijianaume ooh mi nili nanlii khaa
 
Back
Top Bottom