shikwashikwa
Senior Member
- Jun 5, 2015
- 188
- 46
Mapenzi ni vyote pesa na ufundi hiyo appointment tu ikipangwa lazima pesa ikateketee
Nguzo kuu ni Mapenzi ya Kweli. Pesa ni ya mwisho kabisa. Trust Me. Na pesa hailindi Penzi hata sikumoja. Kama MTU Anakupenda Kweli.. Hatajali Pesa atakupenda jinsi Ulivyo aidha unakitu au Huna kitu. Wanaume wengi tumejijenga kifikra kwamba wanawake wanapenda Pesa. Lkn hatutambui kuwa ni sisi tumewazoesha pesa. Mpenzi wako atakua jinsi Utakavyo Muongoza awe coz wewe ni kiongozi katika Mahusiano yako. True Love is More than Money Men Trust Me. Hajakuomba hela we Unamzoesha hela.. Ts Obvious ukimzoesha pesa atakuampenda pesa. Mbaya zaidi atakuwa Mvivu wa kufikiri namna na njia halali za kupata pesa. Siku usipokuepo nini kitaokea kama umeshamlemaza?
We komaa kusema mapenz n pesa utaishia kuwahonga wanaume wenzio kupitia gal Wako.. We mpe hela akahonge wenye ufundi wao
Ufundi VETA Madame
Na kama mapenzi pesa wakaolewe na benki
Wise Person,,, umesema kihisia sana, but kihalisia wanawake these days ndio wanatanguliza pesa mbele....bila kujali what next,,, na wengi wamekata tamaa sababu wao mwanaume ni pesa,,, yuko radhi akukimbie bila kujua wewe ulikuwa na dhamira gani kwake........ wanasahau mapenzi ni hisia,,, na lazima zivutwe taratibuuu....lkn we leo mmekutana kesho kodi ya nyumba ebooo....na sio kwamba hana anakutest.....na wengine watakupa,,, wakikung'uta wanasepa then wanajidai nimeumizwa....nenda hospital.......
u deserve smthng better i guesshahahahahha unigeuze lambalamba tena hii kali nakwambia
u deserve smthng better i guess
Kwani pesa za benki si zimewekwa na watu?? Bank inatunza tu, pia bank inakuwa owned na watu.
nilijua lazima uje hahahahahahahahahaha
Hahahaaaaa!! Yaani natamanigi nikuchape viboko, ndo compaign gani ile huwa unaiendesha? Nani anakutuma?
Hahahaaaaa!! Yaani natamanigi nikuchape viboko, ndo compaign gani ile huwa unaiendesha? Nani anakutuma?
ahahahahha aka sitaki kuchapwa mie ile campaign mbona nilishasitisha
Mmh nshaijua!!
Safi sn, kaka yangu ww fast learner
Umeona eeh
BTW jana umenisoma vizuri mahali fulani hivi amazing??!! usipoelewa nakushusha credits, aaah!!!
Embu tusaidiane mawazo kwa hili wana jamvi, hivi kati ya mapenzi ya kweli na pesa ni ipi nguzo kuu katika mapenzi ya siku hizi.
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums