Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Ebana watu wangu wa nguvu,

Leo nimekuja kutaka ushauri,

Kuna msichana long time sana namfukuzia,huyu sio kwamba ni mzuri kivile.Sasa basi katika mitongozo yangu yote amekua akinikataa na kunipa maneno ya kejeli kama vile eti me sio type yake etc,well me siku zote nimekua nikijifanya kama mtu nisiejali dharau zake kwangu coz nataka nitimize lengo langu la kufanya nae mapenzi basi.

Maana ndio kamaliza chuo mwaka huu alikua ananiringishia eti sijui ana njemba yake inapiga mzigo pale ubalozi wa USA hapa Bongo kwa hyo mimi na hivi vijisenti vyangu vya kudunduliza siwezi kuwa na mtu kama yeye,ikumbukwe pia alishawahi kunitamkia eti mimi ndiye najipendekeza kumtafuta but ye hana time na mimi kivile{ingawa ilikua kweli ila iliniuma}
kinachonishangaza sasa,siku za hivi karibuni ameanzisha ukaribu na mimi ambao hadi nautilia mashaka.

Ananipgia simu mara 3 daily kama dozi ya panado,mara aniulize umekula nin leo,umevaa nin leo,unatoka job saa ngapi,mara nimemiss saut yako na blah blah zingine siku hizi hata kama anatoka kwenda Kariakoo atanipigia kuniaga.
Ingawa me bado cjamkumbushia lolote kuhusu ombi langu,ila naona kama kuna dalili za yeye mwenyewe kujilengesha kwangu.

Kinachonitisha ni jana usiku tukawa tunaongea kwenye phone huku tunataniana kidogo but baadae akaniambia kuwa simu yake imeharibika na anahtaji kununua simu nyingne ila hana pesa kwa sasa,mimi nikawa nishausoma mchezo wa kupigwa mzinga,fasta nkamuuliza kama yule jamaa yake wa ubalozini anajua kuwa simu yake mbovu.

Akanambia hajamwambia,mimi nikamtania nikamwambia mwambie umsikie atasemaje,yeye akajibu akasema kuwa mpaka ameamua kuniambia mimi ni kwamba hataki eti huyo jamaa yake ajue,me nkawa namkwepa na hilo ombi lake lakini kaning'ang'ania mbaya wakuu.

Sasa naomba ushauri wenu wanaume wenzangu,huyu mtoto pesa zangu anazitaka ila inaonyesha mapenzi na mimi hana na anataka kunitumia tu.

Nifanyaje?
 
Mmh! Isijekua we mwenyewe umemtengenezea mazingira mana hamchelewi nyie kujisifia
 
hakuna mazingira yoyote nlomuwekea zaidi ya siku flani tu kanambia hana salio kwenye simu nikamrecharge na vocha ya buku 5,pia kumbuka kipato changu me anakijua na hakijabadilika na ndio maana mwanzon alikua na jeuri ya kunambia me sio type yake.
 
071415-nba-lakers-kobe-bryant-pi-ssm.vadapt.620.high.0.jpg

meeen................diesel is larger than life..........
 
Ebana watu wangu wa nguvu,

Leo nimekuja kutaka ushauri,

Kuna msichana long time sana namfukuzia,huyu sio kwamba ni mzuri kivile.Sasa basi katika mitongozo yangu yote amekua akinikataa na kunipa maneno ya kejeli kama vile eti me sio type yake etc,well me siku zote nimekua nikijifanya kama mtu nisiejali dharau zake kwangu coz nataka nitimize lengo langu la kufanya nae mapenzi basi.

Maana ndio kamaliza chuo mwaka huu alikua ananiringishia eti sijui ana njemba yake inapiga mzigo pale ubalozi wa USA hapa Bongo kwa hyo mimi na hivi vijisenti vyangu vya kudunduliza siwezi kuwa na mtu kama yeye,ikumbukwe pia alishawahi kunitamkia eti mimi ndiye najipendekeza kumtafuta but ye hana time na mimi kivile{ingawa ilikua kweli ila iliniuma}
kinachonishangaza sasa,siku za hivi karibuni ameanzisha ukaribu na mimi ambao hadi nautilia mashaka.

Ananipgia simu mara 3 daily kama dozi ya panado,mara aniulize umekula nin leo,umevaa nin leo,unatoka job saa ngapi,mara nimemiss saut yako na blah blah zingine siku hizi hata kama anatoka kwenda Kariakoo atanipigia kuniaga.
Ingawa me bado cjamkumbushia lolote kuhusu ombi langu,ila naona kama kuna dalili za yeye mwenyewe kujilengesha kwangu.

Kinachonitisha ni jana usiku tukawa tunaongea kwenye phone huku tunataniana kidogo but baadae akaniambia kuwa simu yake imeharibika na anahtaji kununua simu nyingne ila hana pesa kwa sasa,mimi nikawa nishausoma mchezo wa kupigwa mzinga,fasta nkamuuliza kama yule jamaa yake wa ubalozini anajua kuwa simu yake mbovu.

Akanambia hajamwambia,mimi nikamtania nikamwambia mwambie umsikie atasemaje,yeye akajibu akasema kuwa mpaka ameamua kuniambia mimi ni kwamba hataki eti huyo jamaa yake ajue,me nkawa namkwepa na hilo ombi lake lakini kaning'ang'ania mbaya wakuu.

Sasa naomba ushauri wenu wanaume wenzangu,huyu mtoto pesa zangu anazitaka ila inaonyesha mapenzi na mimi hana na anataka kunitumia tu.

Nifanyaje?

Ndo ujue hakutaki achana nae. Kwanini umpende asiekupenda? Anakuchuna wengine wala mzigo. Funguka na muogope kama ukoma huyo dada.
 
hatari sana pesa anataka kuliwa hataki. baki na pesa yako abaki na papuchi yake ngoma droo gamba.
 
wewe mwite guest aje achukue ela ila tafuta guest nzuri ya bei ghari iliyopo pembeni kabisa na mji . KWa kuwa anapenda ela atakuja tu akija mmbake kwa sababu hamna nyingine na hawezi kukushtaki huko pembezoni MA mji alifuata non kama sio umalaya wake wa kula vya watu
 
Pole mkuu huyo ni tapeli achana nae na ikiwezekana hata cm zake zinyutie. Ukijfanya wewe ndo wajua kuhudumia jua na virusi navyo vinahitaji damu yako. Kma utakuwa tyari nakushauri mkapime kwanza ndo ufidie hiyo cm utakayomnunulia. Tupa chini utampata aliye na upendo wa dhat!
 
Sikia sasa we muite nyumbani then muombe mchezo akikupa mpe hela ya simu af mwambie "it was pleasure doing business with you"
 
Hivi kwa nini mods mme edit thread yangu?kwani ni vibaya nikianza na salamu za chama changu cha mapinduzi au ndo na nyie lowassa keshawapitishia bahasha za kaki?
Mmenisikitisha na kunifadhaisha sana,jf sio baba wala mama yangu,natangaza rasmi kujiondoa humu na kuhamia nairaland forum.
 
Nae anatakà kukutumia kama wewe unavyo taka kumtumia yeye.

'Alie uza cheni, kauza cheni bandia na alie nunua cheni katoa pesa bandia'.
 
Back
Top Bottom