mapenzi hayahitaji silaha...
loving is giving.....
That`s why I need to know what to give..
That`s why I need to know what to give..
Silaha kubwa ni kubobea ktk kuchakachua!Ukiweza kumsoma mwenza wako vema na ukawa unampa mkwaju vizuri hadi anafika pale juu ya kilima bila bughudha utamaliza kila kitu!!hiyo silaha itakulinda sana.Silaha za ziada ni uongo,heshima,pesa na kujali.Nawasilisha
Love..Attention..Care..Respect..Honesty..Understanding..Acceptance..Patience etc.
Ndizo zinazoweza kuwa silaha kuu za mwanaume..................?? Mbona nyingi hivyo....................
Uzuri wa uongo uwe na kumbukumbu tu umemaliza kila kituLazima mwenza wako atakuwa na furaha sana mkuu na nimekutendea haki hapo juu,lakini waswahili husema njia ya mwongo ni fupi sijui ni vipi hapo
Kwahiyo huwezi kumpenda mtu..ukamsikiliza..ukamheshimu..ukamjali..ukamvumilia..ukamkubali..ukawa mwelewa n.k?Basi chagua kimoja!
siraha kubwa kabisa ni UONGO Maana kila jambo unalofanya ukilipamba na ka uongo kidogo mambo bam mbam.mf unalazimika kuvaa uhalisia wa jambo hata kama nigumu kiasi gani kwako.mfano wife/mpenzi anataka mwanaume mcheshi so inabidi umdamganye kwa kuvaa sura ya ucheshi kwa muda.
slave hongera ndugu hapo UMEMALIZA mjadala wote, silaha ya muhimu kuliko zote ni UONGO, hizo silaha zingine zinajikongoja tu!!!! i like that.... hehehehe heeeee:smile-big:
Dada zangu mnawasoma hawa walimwengu lakini??
Naomba kuwauliza, huu uongo ni ule uliokatazwa kwenye sheria ya Mungu au kuna uongo mwingine jamani.
Uongo in a sense of JOKESNaomba kuwauliza, huu uongo ni ule uliokatazwa kwenye sheria ya Mungu au kuna uongo mwingine jamani.
Uongo in a sense of JOKES