Xkalinga
JF-Expert Member
- Sep 10, 2010
- 475
- 317
Uongo upi mzee? unadanganya nini? uwezi kudanganya kila mara,,,,,
Uongo wowote utakao kuja kulingana na mazingira na mahitaji,mwambie mwanamke ukweli kama mtaelewana!!!
Uongo upi mzee? unadanganya nini? uwezi kudanganya kila mara,,,,,
Uongo in a sense of JOKES
Sasa na wewe hadi unafikia hatua ya kuambiwa kwenda kuishi kwa Obama ina maana hauoni dalili za huo uongo, kuna uongo nitakwambia for the sake ya kukufanya utabasamu na kukuchekesha kidogo and you will definitely know i am jokingNdo inamaanisha hivyo, yani unanitania tania, halafu hiyo inakuwa ndo silaha kuu.
Sio ule uwongo unanidanganya tutaenda kuishi Marekani, kumbe hata huna huo ujanja.
Na mimi naona ndoto zangu za kuishi USA zimetimia, mwisho wa siku naishia kuishi,
Mbagala Kizuiani?
Ndo inamaanisha hivyo, yani unanitania tania, halafu hiyo inakuwa ndo silaha kuu.
Sio ule uwongo unanidanganya tutaenda kuishi Marekani, kumbe hata huna huo ujanja.
Na mimi naona ndoto zangu za kuishi USA zimetimia, mwisho wa siku naishia kuishi,
Mbagala Kizuiani?
Naomba kuwauliza, huu uongo ni ule uliokatazwa kwenye sheria ya Mungu au kuna uongo mwingine jamani.
Uongo in a sense of JOKES
Mkuu unajua uongo mwingine unaambatana na jokes ili walau umchekeshe mwenzako na ndio maana nasema unamdanganya mtu lakini its a kind of a joke kumfanya acheke obviously utakachomwambia lazima akikaa akasikiliza atajua kwamba you are joking that's what i am talkin about sio ule uongo kama wa kujenga flyovers au kugeuza kigoma kuwa DubaiKomred usisahau kuwa umeposa humuhumu sasa kama atasoma na kujua kuwa anadanganywa sijui itakuwaje??
Even God knows that you love me because he created ME and YOU:lol::lol:ALAH!!!Kumbe ehhh???
''Fynest mi nakupenda sana ujue...ni wewe tu haki ya nani nakwambia!!!''
Embu niambie kama simaanishi hayo utani wake uko wapi???
Sasa na wewe hadi unafikia hatua ya kuambiwa kwenda kuishi kwa Obama ina maana hauoni dalili za huo uongo, kuna uongo nitakwambia for the sake ya kukufanya utabasamu na kukuchekesha kidogo and you will definitely know i am joking
:lol::lol::lol::lol:Ha ha ha ha ha
Sasa TF huoni kuna tofauti ya uongo na utani??
Au ni ile unaulizwa uko wapi unajibu niko hapa JJ wakati uko Temeke lol.
Kuepusha kuulizwa zaidi.
Hivi naniliu anaona hapa.
Bora mimi niliyekuambia toka mwanzo kuwa kwetu ni Mbagaraaaaaaaaaa....
Na wanavyoongea wenyewe wanaona sifa kweli!!!
Na wanavyoongea wenyewe wanaona sifa kweli!!!
Even God knows that you love me because he created ME and YOU:lol::lol:
Kweli kabisa, na mimi nikaamua kukupenda hivo hivo,
Sie tutaishi tu. Sa ungenidandanya unaishi MASAKI afu uje unipeleke huko kweli.........
Wa kule wengi huwa wanatoswa.
[/QUOT
Lazima watoswe ati kwani hawana ustaarabu,we siku moja simama tu pale mwenge mida ya jioni kisha utizame daladala ya Mbagala ikija ndio utawajua,maana hata kama wapo watano tu lazima waingilie madirishani badala ya mlangoni..:lol::lol::lol:
Nachokupendea ni kuwa hukasirikagi haraka........:lol::lol::lol::lol::lol:
Heheheheheh:focus:
Sema utani hapo uko wapi!!!
Kuna ule unaoitwa uongo mweupe ambao unautumia kumpotezea mtu....kama kumdanganya mtu haupo nyumbani kwasababu hutaki kumwambia directly kwamba hutaki aje....ila UWONGO wanaoongelea wenzio hapa ni ule wakumwambia mtu unampenda wakati sio...amependeza wakati anaonekana kituko and so so....
Ni wewe tu baby,
Usiniache, ukanitia aibu, mi ndo nilishaamua,
Nimechoka, kuhangaika sasa, nataka kutulia.
Tuombe tu, mambo yakae sawa......
Uwiiiiii kabinti unaona hapa umefika.
Mmmmmmh Subiri.
Yakishatimia malengo........
Usinifate fate.................
Usinijue................
Utapiga simu itaita mpaka sikio litauma..............
Dah......................
Kama ndio uongo huo hata mimi i am against itHeheheheheh:focus:
Sema utani hapo uko wapi!!!
Kuna ule unaoitwa uongo mweupe ambao unautumia kumpotezea mtu....kama kumdanganya mtu haupo nyumbani kwasababu hutaki kumwambia directly kwamba hutaki aje....ila UWONGO wanaoongelea wenzio hapa ni ule wakumwambia mtu unampenda wakati sio...amependeza wakati anaonekana kituko and so so....