Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

ila pesa na mapenzi vinanogaaaa ktk ulimwengu huu mgumu wa sasa !!!! mmmh
 
Wanawake wemekuwa waajabu sana mwanaume huna pesa anakusaliti ila pata hela utaona anarudi kwako.jamani waugwana huu ni huniugwana kweli???
 
love.jpg
 
Ili uyafurahie mapenzi lazima ukubali kuwa pesa ina nafasi yake kwa sababu mapenzi ni sehemu ya maisha ya kila siku,vile vile pesa haitakiwi kuwa sababu ya kuwepo kwa penzi lenyewe.
Pia tofautisha mtu kutokuwa na pesa na mtu kuwa na mkono wa birika/Mchoyo/bahili
 
unamaanisha sisi wabahiri au!!!!
 
Back
Top Bottom