Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Nasema hivi, kila goti litapigwa mbele ya pesa na kama hautaki kajipigize ukutani. Kama unaamikni katika mungu, unadhani wote tupo hivyo?

umelaaniwa wewe KILA GOTI LITAPIGWA KWA MWENYEZI MUNGU TU NOTHING ELSE.
 
huyo nae chizi kweli...wewe kweli hujamuoa alafu wajidahi kuhudumia namna hiyo. loh mie nagegeda nasepa hela nitampa ya kumgegeda tuu
 
mpenzi mwenye pesa mtamu sana yani!!! hebu nyie wanaume tafuteni pesa kwa bidii malalamiko yaishe.....
asiye fanya kazi na asipewe mahaba matam eenh ayasikie yako india tuu!!!

Tinna cute umeua,pesa ni muhimu lakini penzi lilijengwa juu ya pesa ni la msimu tu!
 
Jamani nimepatwa na mtihani ati nasema nampenda kila siku, lakini nashindwa kumsaidia wakati huu anahitaji msaada wangu zaidi? mapenzi gani haya''! nashindwa hata kumnunulia Samsung galaxy tuweze kuwasiliana whatsapp nashindwa kumpa hela ya shopping kama wenzie wanafanya shopping zizou fasion mlimani city yeye shopping yake machinga complex tuu, ati Mimi mwanaume gani mwanaume suruali? msaada unahitajika hapa Ndugu zangu kuokoa jahazi la mahaba...
 
Tafuta pesa.ukipata mpige chini🙄🙄
 
Kila mbuzi anakula urefu wa kamba yake so mridhike na mlichonacho ama mnachokipata
 
Mfumo wa maisha ya mjini na utandawazi umeharibu fikra za vijana wengi.
 
Nitumie namba yake pm nimpe hizo huduma alafu wewe tafuta mwenzio wa machinga complex
 
Kwani dadako huyo?? Achana naye utampenda mwingne na mwingne na mwingne na mwingine na mwingine.....
 
Back
Top Bottom