Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,914
wana MMU habarini? nimesoma post nyingi sana za wadada humu naona kweli walio wengi wanapenda wanaume wenye pesa tena nyingi. Najiuliza maswali mengi na ninakosa majibu pesa nyingi call it Richness as Lara1 puts it, ni kiasi gani?
Hii ni tabia ya kikahaba
Hawa hawataki tu kufanya kama wale wenzao
uwezo wa kununu gari? kujenga nyumba? kusustain maisha ya kila siku kula, kuvaa na pa kulala? mi naomba nieleweshwe.
Hawawezi kukuelewesha kwa kuwa hawaridhiki
Halafu wana sifa moja ya uvivu na kutokuwajibika kwao wenyewe
Wanatafuta mwenye hela ili awajibike kwa niaba yao
Mwanamke anaewajibika na kujitambua hawezi kutafuta na kumsaka mwanaume mwenye hela wa nini????
Kama hela anazo,yeye atatafuta MWANAUME TU!!!!!!!!
Since mi nikiwaza hela haziji siku moja, kwa nini ninyi mnapenda ready made? halafu hizo pesa nyingi zinakula nini? maana kama ni nyama au kuku au sausages, hauhitaji pesa nyingi sana kuviafford. Kama ni nguo unataka ununue ya milioni? maana nguo pia sio hela nyingi kihivyo.
Hawa hawaridhiki mama
Wana ka tabia ka kufuja sana hela
Ndo maana mwanaume akiwa na hela watamsaka kwa gharama yoyote ile
Pia wana ka tabia ka kutojiheshim
Mtu anaejiheshimu hawezi kuzitamani hela za mtu mwingine
Hawa ndo wale wanaoua waume zao ili warithi mali!!!
My take: be serious with a relationship, mali zinakujaza tena siyo ghafla, ni polepole. halafu wewe pia una mikono miwili kama mwanaume unaweza tu kuchangia familia yenu kunyanyuka kiuchumi, stop wanting vitu vya dezo. na pesa ni pesa tu, regardless iko ngapi, na ikitafutwa kihalali, inakujaga tena yenye amani na upendo.
Hwa hawapo kwaajili ya mahusiano
Wanahitaji hela tu
Utapoteza muda wako kukimbizana nao
We tulia tu ule maisha na mumeo dada yangu!!!!!!!!!