acha ujinga wewe mbona mjuaji ww mi nimetoa true story ya mtu mwingine kabisa na nilchokiandka kanisimulia demu mwenyewe na kwa taarifa yako anampango wa kumpiga chini mshikaji arudi rasmi kwa ex wake kwani bado wanagegedana sana tu
umelaaniwa wewe KILA GOTI LITAPIGWA KWA MWENYEZI MUNGU TU NOTHING ELSE.
nadhani umekosea kidooogo
EVERY MAN WITH MONEY HIS HANDSOME
Kila goti litapigwa mbele ya pesa... na ukigoma kuipigia goti utakufa njaa na umaskini...
Cash rules everything.
nadhani umekosea kidooogo
EVERY MAN WITH MONEY HIS HANDSOME
acha ujinga wewe mbona mjuaji ww mi nimetoa true story ya mtu mwingine kabisa na nilchokiandka kanisimulia demu mwenyewe na kwa taarifa yako anampango wa kumpiga chini mshikaji arudi rasmi kwa ex wake kwani bado wanagegedana sana tu
acha ujinga wewe mbona mjuaji ww mi nimetoa true story ya mtu mwingine kabisa na nilchokiandka kanisimulia demu mwenyewe na kwa taarifa yako anampango wa kumpiga chini mshikaji arudi rasmi kwa ex wake kwani bado wanagegedana sana tu
Kuwa mpole mzee,mbona kama shell inapanda?
mpenzi mwenye pesa mtamu sana yani!!! hebu nyie wanaume tafuteni pesa kwa bidii malalamiko yaishe.....
asiye fanya kazi na asipewe mahaba matam eenh ayasikie yako india tuu!!!
nadhani umekosea kidooogo
EVERY MAN WITH MONEY HIS HANDSOME
Mmh, kuna mahali hata chokaa inadunda bwana. Hela hazijawahi kumsaidia ba mdogo wassira wala uncle pinda
eeeh bwana nipo maeneo ya boko kuna msichana mmoja ana boyfriend kimsingi ni mchumba wake na jamaa ana pesa ana masters ya eng. anakofanya kazi ni siri yangu huyu mwanamke kapangishiwa nyumba nzima anapewa kila kitu na kila mwisho wa mwezi anapewa laki 6 ya matumizi ndani ana asset zote aza muhimu na jamaa anampenda sana huyu girl bt cha kushangaza huyu demu anasema hampendi sana huyu jamaa yuko nae coz ya hela tu ila yeye anampenda sana boyfriend wake wa zamani japo hana kitu lakn huyu jamaa mwenye pesa wakati mwingine huwa hatamani hata kumuona hampendi SASA WAKUU MAPENZI NI PESA AU NINI? NB:true story