royna ulichokisema kina ukweli ndani yake nami naomba nitoe hoja yangu kama ifuatavyo,
Pesa katika mapenzi ina sehemu ndogo tu ambayo ni kuwawezesha wapenzi kuafford maisha yao ya kila siku kama nguo,chakula ,malazi(basic human needs) na mambo mengine madogo madogo kama vile suprises za outings na vijizawadi zawadi ili kulitilia chumvi penzi lenu,na kama ulivyosema pesa halali huja yenyewe na kwa taratibu wala haihitaji haraka,na mara nyingi utajiri mwingi huja mara baada ya mwanaume kupata mwenzi mwerevu ambaye anaweza kumsaidia kutumia pesa vizuri na kusave na ndio maana kuna usemi usemao "BEHIND A SUCCEFUL MAN THERE IS A WOMAN BEHIND",usemi huu sio uzushi tu ni socially proved as mwanamke sikuzote amekuwa mtu ambaye hufikiria sana feature wakati wanaume ni watu wanaoangalia sana ya leo na feature haiwachukulii muda wao mwingi.
Angalizo kwa akina dada:Ukikuta mwanaume anaishi peke yake bila mke lakini amejikamilishia kila kitu ndani ana nyumba nzuri,gari,set nzuri ya vitu ndani mwake na vinginevyo vya thamani,shtuka washa taa nyekundu kichwani huo ni moto :A S-fire1: :A S-fire1: :A S-fire1: lazima atakuwa amewahi kuoa na kuacha na mke aliyemwacha ndiye aliyesaidia sana kufanya huyo mume akaitwa rich man,kwa hiyo hata wewe ujue kuwa iko siku utaviacha hivo vitu na mweznio mwingine atakuja na kuona amepata mwanaume tajiri.
Angalizo:simaanishi wanaume wote ambao hawajaoa hawana akili ya maisha,ila kiuhalisia ni one among twenty.
Swali kwa akina dada kama ungependa sana kuishi maisha mazuri kwa nini umtegemee mwanaume?kwa nini angalau usijitahidi sana na wewe pia uje uitwe rich woman kwa maarifa yako mwenyewe?ipi inaleta raha kuitwa a wife of a rich man au a rich woman
Jamani niko tayari kukosolewa kwa hoja niliyoitoa.
copy wadada wa jf including
Heaven on earth mrs grafani11
Munkari Lady doctor mimisa,@Lara1 kubwa la maadui
Richwoman
sister.