kyannala nabiso
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 645
- 143
Afadhali uwaambie maana wanakera
Afadhali uwaambie maana wanakera
Lakini anaweza akazitafuta hizo pesa kwa jimama au mdada yeyote mwenye hela. kwa namna hiyo akawa anakula penzi huku anatafuta hela
Lakini anaweza akazitafuta hizo pesa kwa jimama au mdada yeyote mwenye hela. kwa namna hiyo akawa anakula penzi huku anatafuta hela
enheee si mnaambiwa kuwa kuzaliwa familia maskini si kosa lako lakini kuoa kwenye familia masikini hapo kosa ni lako...relationship with benefit?
Gari hili litaoa gari lile, na Nyumba hii itaoa Nyumba ile,...Vijana Fungeni MikandaaaaSipendezwi kumuona mwanaume ambaye awezi kujilisha yeye mwenyewe anatafuta msichana kwa ajili ya kuanzisha mahusiano.
Anamtaka msichana awe mpenzi wake lakini hana pesa.
Nashauri, ni vyema mtu ambaye hana pesa awe busy kutafutae pesa kwanza ili ku add his value na kuacha kuwa a romantic nuisance.
wana MMU habarini? nimesoma post nyingi sana za wadada humu naona kweli walio wengi wanapenda wanaume wenye pesa tena nyingi. Najiuliza maswali mengi na ninakosa majibu pesa nyingi call it Richness as Lara1 puts it, ni kiasi gani? uwezo wa kununu gari? kujenga nyumba? kusustain maisha ya kila siku kula, kuvaa na pa kulala? mi naomba nieleweshwe. Since mi nikiwaza hela haziji siku moja, kwa nini ninyi mnapenda ready made? halafu hizo pesa nyingi zinakula nini? maana kama ni nyama au kuku au sausages, hauhitaji pesa nyingi sana kuviafford. Kama ni nguo unataka ununue ya milioni? maana nguo pia sio hela nyingi kihivyo.
My take: be serious with a relationship, mali zinakujaza tena siyo ghafla, ni polepole. halafu wewe pia una mikono miwili kama mwanaume unaweza tu kuchangia familia yenu kunyanyuka kiuchumi, stop wanting vitu vya dezo. na pesa ni pesa tu, regardless iko ngapi, na ikitafutwa kihalali, inakujaga tena yenye amani na upendo.
aiii eti tutafute mali pamoja afu tukitoka kimaisha uanze kunidharau wengine huthubutu kuwaletea wake zao wanawake adi nymbn kwao kitu READY MADE bwana ata ukileta madharau haiumi zaidi nikiona yanazidi najisepeshawana MMU habarini? nimesoma post nyingi sana za wadada humu naona kweli walio wengi wanapenda wanaume wenye pesa tena nyingi. Najiuliza maswali mengi na ninakosa majibu pesa nyingi call it Richness as Lara1 puts it, ni kiasi gani? uwezo wa kununu gari? kujenga nyumba? kusustain maisha ya kila siku kula, kuvaa na pa kulala? mi naomba nieleweshwe. Since mi nikiwaza hela haziji siku moja, kwa nini ninyi mnapenda ready made? halafu hizo pesa nyingi zinakula nini? maana kama ni nyama au kuku au sausages, hauhitaji pesa nyingi sana kuviafford. Kama ni nguo unataka ununue ya milioni? maana nguo pia sio hela nyingi kihivyo.
My take: be serious with a relationship, mali zinakujaza tena siyo ghafla, ni polepole. halafu wewe pia una mikono miwili kama mwanaume unaweza tu kuchangia familia yenu kunyanyuka kiuchumi, stop wanting vitu vya dezo. na pesa ni pesa tu, regardless iko ngapi, na ikitafutwa kihalali, inakujaga tena yenye amani na upendo.