Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

uku kijijini nilipo unaweza, hata mjini inawezekana pia maana si kila mwanamke anapenda kula pesa ya mwanaume baadhi ya mabinti, kina mama ni wapambanaji. Ila kikubwa ili uwe salama hakikisha una tafuta pesa mkuu
 

Yaan leo nimechaka mpaka bas, mkuu ningekuwa nakufahamu ningecheka kila nkuonapo
 
Kijana mwenzangu labda nikushauri ,usiombe mwanamke akuzidi nguvu kiuchumi hakika hautakuwa na sauti ndani ya nyumba na Wanaume tumeumbwa tuwe msingi wa Familia na kichwa cha familia sasa sipati picha ndo unaambiwa na mwanamke kwamba "niandalie nguo za kuvaa kazini" Kaka tafuta pesa oa mwanamke unayempenda mwenyewe bila kusukumwa na economics status
 
Nilisha mchukuwa dem tukafika getto dem hatak kutoa papuch anataka hela mm sikujali mzee mzima nikaingia kwenye tigo pesa nikamtumia kama shs50000, hapo mtoto akakubali kutoa uroda nimekula mautam tulivyo agana tuu nikaingia tigo pesa nikarudisha ile pesa, niliambulia meseji za matusi kutoka kwa yule dem urafiki ukaisha sikuileile

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaa polee sana aisee
 
Back
Top Bottom