Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Kutokana na ugumu wa maisha na changamoto ya mabinti wa kisasa natamani sana nipate Mwanamke mwenye uwezo wake kipesa haijalishi ana umli gani isipokuwa asizidi miaka 40, simaanishi kwamba anihonge Pesa au Thamani yoyote isipokuwa naitaji nipate mapenzi ya kweli.

Natambua kwa sasa huwezi kuwa na mwanamke bila kuwa na pesa na mkakaa salama kwenye mahusiano. Sasa ni bora kuwa na mwanamke mwenye pesa zake ili aitaji mapenzi tu, kutoka kwangu
Unakoelekea siko utajikuta unaelekezwa kibla.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kutokana na ugumu wa maisha na changamoto ya mabinti wa kisasa natamani sana nipate Mwanamke mwenye uwezo wake kipesa haijalishi ana umli gani isipokuwa asizidi miaka 40, simaanishi kwamba anihonge Pesa au Thamani yoyote isipokuwa naitaji nipate mapenzi ya kweli.

Natambua kwa sasa huwezi kuwa na mwanamke bila kuwa na pesa na mkakaa salama kwenye mahusiano. Sasa ni bora kuwa na mwanamke mwenye pesa zake ili aitaji mapenzi tu, kutoka kwangu

Kama una Amini kitabu cha nabii isaya inawezekana embu msome hapa

Isaya 4:1
*Na siku hiyo wanawake Saba watamshika mtu Mume mmoja wakisema, Tutakula chakula chetu, na kuvaa nguo zetu wenyewe lakini tuitwe tu kwa jina lako, Utuondolee aibu yetu.*
 
Kutokana na ugumu wa maisha na changamoto ya mabinti wa kisasa natamani sana nipate Mwanamke mwenye uwezo wake kipesa haijalishi ana umli gani isipokuwa asizidi miaka 40, simaanishi kwamba anihonge Pesa au Thamani yoyote isipokuwa naitaji nipate mapenzi ya kweli.

Natambua kwa sasa huwezi kuwa na mwanamke bila kuwa na pesa na mkakaa salama kwenye mahusiano. Sasa ni bora kuwa na mwanamke mwenye pesa zake ili aitaji mapenzi tu, kutoka kwangu
Amka usingizini wewe....mwanamke akuzidi pesa alafu useme uhongwi !?? Burazaaaaaaa...... !! Fanya Kazi mwanaume, wamejaa kibaowa saizi yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Me nakushauri uoe ili muishi kwenye shida na raha ........ila habari za kupatishana dhambi mwisho hatuoani halafu na pesa huna huo ujinga mwisho 2001

Yaani umeongea ukweli best unawaza kuvumilia kipindi yuko Zero akipata wanaenda kutumia wengine nani ataweza ujinga huo ilikuwa zamani.
 
Back
Top Bottom