Hellow !!!
Hivi wanaume wenye hela mna nini lakini?
Mnapenda kulala kama gogo mwanamke ndiyo ajishughulishe yeye tuu. Kwani nyie hamuwezi kujituma? (Kwenye mapenzi)
Msituchoshe bhana.. Yaani mtu ukiwa na mwanaume wako unachoka kama vile umetoka kulima kwa kujituma tuu, kila saa utasikia baby panda juu [emoji57] [emoji57] na kuanza mpaka sisi tuanze kuwagusa gusa, kuandaa mwanamke hata hadi alainike huo muda hamna mnaamini pesa ni kila kitu.
Kuna msemo "mwanamke nampa kila kitu lakini haridhiki, nimemnunulia nyumba , gari nk lakini bado anacheat" lazima tucheat maana hamturidhishi kimapenzi.
Na wakati nikienda kwa asiye na hela, napata mapenzi kama yotee!! Tangu kufika mtu yupo bize na mimi tuu, ashike hapa ashike kule, aniimbie imbiee hadi raha. Kwa nini nisicheat?
Wanaume wenye kuamini hela zenu ndiyo mapenzi endeleeni. Msiwaridhishe wapenzi wenu nyie wanunulieni magari tuu na nyumba.
Pooovu kama lote !! Ila sijamlenga yeyote humu.
Siku njema.