Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Utakuja kusuguliwa upepewe, mtu aliyekosa pesa akikupata huwa anakuona wewe ndiye chanzo cha yeye kukosa pesa atakusugua hadi upige chafya.
Hahahahahahaha hahahahhahaha hahahahhahahah acha tuu bora kusuguliwa sanaaa kuliko kutoridhika
 
Hapa siongelei kutokuwa na hela.
Hela ndiyo ziwepo ila siyo mbweteke
Ivi nyie kazi yenu ni ipi? Pesa nitafute kwa jasho, niko hoi afu uje nikupikie nikupetipeti nabado nitokwe jasho kisa napambana na nilikotokea??? Mnyuufuu.. Koma kabisa kwa raha zangu uridhike usirdhike utajiju nikishatoa nyege zangu I don't care anymore..ukiona kuchepuka wasalimie wahehe wanasema sambi sako mwenyewe...!
 
Ngoja hivi dikishenari yangu nimeweka wapi?
4G LTE wewe kama wewe ni fundi wa kitandani au wa kutoa hela??[emoji13]
Hahahahah ngoja nikusaidie kiduchu... Hela ikitumika vizuri itawapa furaha au amani wapendanao. So si kwamba ukishakuwa don unakuwa layman kitandani, vile vile si kuwa broke ndio automaticaly utajua kuliskata sebene (how can u perform under mawazo ya ubroke na hata hamjakula vizuri kupata nguvu za kunjunjuana). As mapenzi ni sanaa na inahitaji ujuvi wa hali ya juu.
Line ya mwisho sikujibu nitakuwa nimekiuka disclaimer zangu[emoji85]
 
Uzuri huwa tuna pretend kwenu ila baadae tunaenda kwa mwafulani kukunwa kisawasawa jioni tunarudi nyumbani.
Ndo maana nilikataa kuoa malaya maana malaya hafugiki we mfanye unavyofanya

Ipo sku atakumbuka wateja wake tu
 
Kukojoa ndio target kitandani utaangaika wewe maana wakati wa kuzitafuta pesa atukuangaika wote..
 
Lakini dada siuitumikie tu pesa ulioifuata shida iko wapi? Jamaa akishajojoa ndio kesharidhika wewe chukua pesa kajiridhishe kwingine. Nihangaike kutafuta pesa, nihangaike kukutongoza, nihangaike na kukuridhisha kitandani? Kwanini unataka kupata vyote pesa na kuridhishwa? Unajua wanaume tukishajojoa akili inarudi na roho inatuuma sana kwa gharama tunazokuwa tumeingia mpaka kuwapata?
 
Ivi nyie kazi yenu ni ipi? Pesa nitafute kwa jasho, niko hoi afu uje nikupikie nikupetipeti nabado nitokwe jasho kisa napambana na nilikotokea??? Mnyuufuu.. Koma kabisa kwa raha zangu uridhike usirdhike utajiju nikishatoa nyege zangu I don't care anymore..ukiona kuchepuka wasalimie wahehe wanasema sambi sako mwenyewe...!
Nyie ndiyo tunawapenda viben10 vipo kwaajili ya kuwasaidia
 
Sasa mtu akulipe kwa kazi gani unayoifanya?
Ni lazima ushughulike. Nikulipe na bado kuchoka Nichoke mwenyewe.
 
Lakini dada siuitumikie tu pesa ulioifuata shida iko wapi? Jamaa akishajojoa ndio kesharidhika wewe chukua pesa kajiridhishe kwingine. Nihangaike kutafuta pesa, nihangaike kukutongoza, nihangaike na kukuridhisha kitandani? Kwanini unataka kupata vyote pesa na kuridhishwa? Unajua wanaume tukishajojoa akili inarudi na roho inatuuma sana kwa gharama tunazokuwa tumeingia mpaka kuwapata?
Huu ushauri ndiyo upo kazini
 
Back
Top Bottom