Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Kuna watu wanapendana bila pesa kuwa Na ushawishi ktk mahusiano yao!

Yaani wanaweza kuendelea kuwa Na mapenzi moto moto hata kama pesa imekata

Je hapa jf kuna wanawake ambao hawajawahi omba pesa kwa mwanaume?



DJ sepetu
ndugu yangu mapenzi co pesa sawa,lakini yanaongeza bergaining position ya mtu
 
Back
Top Bottom