Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Amani ya bwana iwe nanyi wapendwa katika bwana

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu

Katika maisha yetu ya kila siku mchawi mkubwa sana ni pesa, huyu pesa wala hajatoka kwa bwana bali yeye katoka kwa kaisari.

Mwanaume hata kama ukiwa jeusi na sura mbaya kama ya mbwa lakini ukiwa na pesa utapata mademu wakali kinoma tena matata sana na utasikia kutoka kwa mademu wakikusifu mwanaume pesa sura ya ni sasa.

Kwa kifupi pesa ndo dawa ya mademu.

Hivyo hivyo kwa mwanamke mwenye pesa hata kama akiwa na matiti kama ndala na kapigwa pasi atapata mwanaume smart kuanzia kichwani, rohoni hadi mwilini, huo ndo ukweli mazee mwanamke mwenye pesa hutafuta mwanaume anayemtaka yeye mwenyewe hata kama awe ana miaka 19 au awe ana miaka 25 hata kama yeye huyo mwanamke atakuwa na miaka 50.

Na mwanamke mwenye pesa hupata raha yote anayoitaka kutoka kwa wanaume maana wanaume hujituma sana ili wasiachwe

Pesa ndo dawa
Pesa ndo sabun ya roho

Uchawi wa pesa katika mapenz ni noma.

Tutafuteni pesa masela ili tuje tumiliki wachuchu wakali
Mayweather ana watt wazur saba b'se he is tritillionare
 
NANYUPU HIM SELF

LONDON BABY
 
Attachments

  • FB_IMG_1506397512804.jpg
    FB_IMG_1506397512804.jpg
    57.8 KB · Views: 36
Back
Top Bottom