Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Sisi nasi hatuwezi kuchukua mwanamke Masikini na Mjinga kaa ukijua.

Masikini Kwa masikini, na Mjinga Kwa Mjinga.

Mwenye pesa Kwa mwenye pesa,
Mwerevu Kwa mwerevu.

Ndege wafananao huruka pamoja.

Kila mtu atapata wa kufanana Naye.

Hivyo hata wanaume hatufuati wanawake wenye shida Mkuu.

Endelea kuwadanganya wenzako hapo tuwachezee lakini wakuolewa ni wengine wenye angalau kimshahara cha Laki 5 kama cha Mwalimu.

Nyie wengine mtabaki kuwa Watazamaji katika dunia hii.
 
Kwan hujawai ona masikin kapata tajiriii

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Sisi nasi hatuwezi kuchukua mwanamke Masikini na Mjinga kaa ukijua.

Masikini Kwa masikini, na Mjinga Kwa Mjinga.

Mwenye pesa Kwa mwenye pesa,
Mwerevu Kwa mwerevu.

Ndege wafananao huruka pamoja.

Kila mtu atapata wa kufanana Naye.

Hivyo hata wanaume hatufuati wanawake wenye shida Mkuu.

Endelea kuwadanganya wenzako hapo tuwachezee lakini wakuolewa ni wengine wenye angalau kimshahara cha Laki 5 kama cha Mwalimu.

Nyie wengine mtabaki kuwa Watazamaji katika dunia hii.
Napingana na we we asilimia 100 mapenzi hayana formula vijana mmepotoka sanaaa
 
Ndo maana mnaishia kutoa Mbunye na kuachwa. Ww badala ya kufikilia kuwa na BMW ya kwako ww unawazia ya kupewa. Na wanawake wote wangekuw na Akili km yako I don't know what will happen....!!!!
 
Pale ambapo muda wa kutaka kuolewa umefika lkn kila ukipiga picha huoni mwanga, unabaki ktk cross road ya makanikia, kati ya wanaume walionacho na wasionacho ilhali ww binafsi hunacho zaidi ya kikojoleo bapa, utazeekea kwenu au uendelee kupokea rose za masharobaro .
 
Hahaha......nimecheka mpaka nimejamba.......huyo mwenye pesa yupo bize na pesa zake hana habari ya nini yote hayo mapenzi hayauzwi
 
Ila kiukweli kabisa... Zama hizi mapenzi bila pesa siyo mapenzi...

Siyo tu mwanamke atakusumbua bali hata, mwanaume mwenyewe utakuwa mnyonge... Utajikuta mwanaume ukiwa ukweli kwenye jambo dogo unaona kama unadharauliwa...

Alafu unajua mwanaume ukiwa na pesa kwenye mapenzi mwanamke hakusumbui.. Atakuvumilia kwa kila hali...

Cc: mahondaw
 
. pesa hizi lakini mmhmmhmmh..
Ngoja nipite miyeeee sitii neno
 
Unfortunately hii philosophy wadada wengi wa kileo hasa kutoka pande za Africa wameamua kuiadopt.
Nilikutana na dada wa kinigeria ana mentality hiyo, ana watoto wawili kila mtoto na baba yake akimsaka mwenye pesa amuoe.
 
Back
Top Bottom