DJ SEPETU
JF-Expert Member
- Apr 17, 2017
- 8,413
- 12,338
Hivi pesa inaingiaje mbona vile viungo havina sura ya helaNisipoomba nitaumwa magonjwa yote, sasa kama hanipi pesa wa nini mimi!!!
DJ sepetu
Hivi pesa inaingiaje mbona vile viungo havina sura ya helaNisipoomba nitaumwa magonjwa yote, sasa kama hanipi pesa wa nini mimi!!!
Pesa ndio kila kitu na haina mbadala.Hivi pesa inaingiaje mbona vile viungo havina sura ya hela
DJ sepetu
Kuna watu wanapendana bila pesa kuwa Na ushawishi ktk mahusiano yao!
Yaani wanaweza kuendelea kuwa Na mapenzi moto moto hata kama pesa imekata
Je hapa jf kuna wanawake ambao hawajawahi omba pesa kwa mwanaume?
DJ sepetu
Sio kweli afya ndio kila kituPesa ndio kila kitu na haina mbadala.
Asante kwa kulijua hilo mkuuPesa Dawa ya Penzi.
Wahenga walituachia maneno ya busara sanaHasara roho pesa makaratasi by Wahenga
sana aiseeWahenga walituachia maneno ya busara sana