Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

hakuna mazingira yoyote nlomuwekea zaidi ya siku flani tu kanambia hana salio kwenye simu nikamrecharge na vocha ya buku 5,pia kumbuka kipato changu me anakijua na hakijabadilika na ndio maana mwanzon alikua na jeuri ya kunambia me sio type yake.

Hehehe mkuu umefanya makosa sana kumwambia mtoto wa kike mshahara wako hata kama ni mkeo hairusiwi kabisa pole sana
 

Ebana watu wangu wa nguvu,

Leo nimekuja kutaka ushauri,

Kuna msichana long time sana namfukuzia,huyu sio kwamba ni mzuri kivile.Sasa basi katika mitongozo yangu yote amekua akinikataa na kunipa maneno ya kejeli kama vile eti me sio type yake etc,well me siku zote nimekua nikijifanya kama mtu nisiejali dharau zake kwangu coz nataka nitimize lengo langu la kufanya nae mapenzi basi.

Maana ndio kamaliza chuo mwaka huu alikua ananiringishia eti sijui ana njemba yake inapiga mzigo pale ubalozi wa USA hapa Bongo kwa hyo mimi na hivi vijisenti vyangu vya kudunduliza siwezi kuwa na mtu kama yeye,ikumbukwe pia alishawahi kunitamkia eti mimi ndiye najipendekeza kumtafuta but ye hana time na mimi kivile{ingawa ilikua kweli ila iliniuma}
kinachonishangaza sasa,siku za hivi karibuni ameanzisha ukaribu na mimi ambao hadi nautilia mashaka.

Ananipgia simu mara 3 daily kama dozi ya panado,mara aniulize umekula nin leo,umevaa nin leo,unatoka job saa ngapi,mara nimemiss saut yako na blah blah zingine siku hizi hata kama anatoka kwenda Kariakoo atanipigia kuniaga.
Ingawa me bado cjamkumbushia lolote kuhusu ombi langu,ila naona kama kuna dalili za yeye mwenyewe kujilengesha kwangu.

Kinachonitisha ni jana usiku tukawa tunaongea kwenye phone huku tunataniana kidogo but baadae akaniambia kuwa simu yake imeharibika na anahtaji kununua simu nyingne ila hana pesa kwa sasa,mimi nikawa nishausoma mchezo wa kupigwa mzinga,fasta nkamuuliza kama yule jamaa yake wa ubalozini anajua kuwa simu yake mbovu.

Akanambia hajamwambia,mimi nikamtania nikamwambia mwambie umsikie atasemaje,yeye akajibu akasema kuwa mpaka ameamua kuniambia mimi ni kwamba hataki eti huyo jamaa yake ajue,me nkawa namkwepa na hilo ombi lake lakini kaning'ang'ania mbaya wakuu.

Sasa naomba ushauri wenu wanaume wenzangu,huyu mtoto pesa zangu anazitaka ila inaonyesha mapenzi na mimi hana na anataka kunitumia tu.

Nifanyaje?

Weka kifuani then mkazeee
(Kama Dangote)
 
Kuna mmja mi wa type hiyo hiyo siku moja akaniambia nina hamu na kuku, nikamwambia poa na tukakubaliana muda wa kutoka jioni. Ilivokaribia muda eti katuma sms anasema, atakuja na rafiki zake wawili....hahahaah nikamwambia kama ndo ivo tuahilishe tu maana suna hiyo budget ya kuhudumua rundo la watu.

Hadi leo heshima isharudi, wanawake huwa wanakamtindo ka kutest upepo. Jinga kabisa wote wa type hii
 
Hivi kwa nini mods mme edit thread yangu?kwani ni vibaya nikianza na salamu za chama changu cha mapinduzi au ndo na nyie lowassa keshawapitishia bahasha za kaki?
Mmenisikitisha na kunifadhaisha sana,jf sio baba wala mama yangu,natangaza rasmi kujiondoa humu na kuhamia nairaland forum.

Kumbe wewe ni wa chama cha kijani??? Ndio maana unapigwa mizinga!!! Zile ela A escrow na wewe ulipewa?? Sasa unashindwa nini kumpa kimwana??? Au unataka kufanya za kampeni??? Bora upigwe mizinga tu...toa ujinga hapa...mxhuuuuuuuuu!!!
 
Kama fedha anayohitaji iko ndani ya uwezo wako, proceed. Usimletee habari za kumpenda. Mwite for a weekend of fun. Piga mashine, mpe hiyo hela. Tembea.

Mimi huwa nina principle moja, sishindani na mwanamke kwenye papuchi yake mwenyewe. Its a win-win situation kwake. Hela yako unampa na bado you make her cum, ilhali amekusumbua sana hapo katikati. Mwanamke hakomolewi kwa kuhongwa na kuliwa. Jaribu kuadopt hiyo principle.
 
Mkuu usije ukajidanganya kwamba huyo dem anataka dushe niaje,hana lolote anataka mpunga tu.
 
Ukita nchi kuwa na uchumi imara na makini lazima iwe imepita ktk changamoto ya umasikini ukitaka jeshi liwe na nguvu imara,lazima liwe liliwahi kushindwa vita.Ukitaka kufaulu maisha,lazima upitie changamoto.

Na ukitaka kupata mapenzi ya kweli lazima ufuate kanuni na taratibu za mapenzi ambazo ndio dira ya kukuongoza na kukufikisha kwenye ndoto.
Ni wengi waloumizwa na mapenzi,ni wengi waloteseka na mapenzi,ni wengi wenye majeraha yasipona maumivu.

Maumivu ya mapenzi hayaelezeki,hayasimuli,ni siri kati ya mgonjwa na maumivu yenyewe.Ni uongo na kujidanganya kuwa utaweza kununua mapenzi ya kweli kama ununuavyo gari au nyumba au nguo au chochote kile.

Mapenzi ya kweli huzaliwa katika upendo wa kweli na hauihitaji pesa,utajiri,dini,rangi wala kabila.Pesa inaweza kununua mapenzi lakini pesa haiwezi kununua upendo ambao ndio mapenzi ya kweli.

Ashakum si matusi,utakapo toa pesa na kuhonga mapenzi utapata kitu kiitwacho " sex'' lakini ule upendo unaozaa mapenzi ya kweli yanayopelekea ndoa ya kudumu hautokuwepo kwani ni sawa na kuuwekea kumpa kuku aatamie yai la mbuni.

Mapenzi yamejengwa katika ukubwa ambao haulingani na thamani ya pesa.Ni masikini wangapi wameoana au kuolewa na matajiri,ni wenye elimu wangapi wameona na wasio na elimu ?Huo ndio ukubwa wa mapenzi,usiofanana na chochote kile.

Kweli wengi tunafanya kazi kwa juhudi zote ili tupate pesa za kupatia mapenzi lakini ni kweli tunapata mapenzi ya kweli au tunaishia kufanya mapenzi na mwisho wa siku kusalitiana,na kuachana vibaya.Hakuna soko la mapenzi duniani ambalo utafika na kuyanunua.

Mapenzi ya kweli hujengwa ktk mfumo wa mwili wa binadamu ambao upo ktk sehemu iitwayo upendo,upendo unatokea ktk roho au moyo wa binadamu.
Kwa kawaida upendo hauna macho wala masikio.

Upendo una akili na ufahamu peke yake.Hivyo basi,yule utakae muona mbaya,wenzako watamuona mzuri na yule utakae muona mzuri wenzako watamuona mbaya,hapo mapenzi hayana macho.Yule mchafu kwako,kwa wenzako ni msafi.

Mapenzi siyo sawa na bidhaa sokoni eti utoe hela uipate,laa.Mapenzi ni sawa na upofu,lakini upofu wenye maono.Hata ufanye nini,kwa wenye mapenzi ya kweli huwezi kuwatenganisha kwani hawakuyanunua sokoni wala dukani,wanatambua thamani ya mapenzi yao.

Muda mwema wote.
 
asikudanganye mtu wewe pesa inanunua mapenzi, hukumtaani kwetu kuna mdada mmoja anajifanyaga wa misimamo mingi, zamani alikua hanielewi kabisa aliniona muhuni tu! nisiye na aliwahi kudai hawezi kuwa na mtu kama mimi, simu zangu alikua hapokei na msg hajibu ila toka aone mambo yangu ni sukari siku hizi ananiita baby namvua kyupi na kutimua vuzi kama sina akili nzuri, anayesema pesa hainunui mapenzi ujue hajaishika tu!
 
"Love ana money are two sides of the same coin"
"pesa haileti furaha ila inaongeza furaha"
tafakari chukua hatua....
 
Back
Top Bottom