Worldboss
JF-Expert Member
- Jun 30, 2015
- 2,932
- 3,766
Apo nakushauri kimbia,anataka kukuchuna uyo nanaona kama dhamira yake inataka kutimia flani ivi.we piga chini mbona warembo kibao tu tanzania hii.sema nakusifu kwa roho ngumu kama paka shume, yani vijembe vyote alivyokupa bado upo? kweli binadamu hatufanani