Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,272
Una roho ndogo sana baby huyu National Anthem ni shetani mkubwa anavunja ndoa za watu.Haya wakuu am out. chukueni ndugu yenu 😃
Njoo tutulizane😍😍
Una roho ndogo sana baby huyu National Anthem ni shetani mkubwa anavunja ndoa za watu.Haya wakuu am out. chukueni ndugu yenu 😃
Unahangaika huko afu ukishindwa unarudi😒
umoena eeh! sie wanaume tuna vikao vyetu , hapo mkuu ERoni ana mipango yake mingine .. hapo wewe kama kiraka ili mradi gari ifike dodoma, ikifika anabadilisha tube🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Amekuwa mchepuko tena!!
Ona unachekwa baby bora tuondoke humu😁😁 haya bhana... good night.
Sikia wewe tulia tuliTatizo huchelewi kukasirika na michezo hii haitaki hasira
wapi ? ivi kwani kuna siku umeisha wahi nikubalia kwani 🙄🙄🙄Unahangaika huko afu ukishindwa unarudi😒
Nimeambiwa wameshakuwahiBibi hana tatizo, haina haja ya kusubiri nimalizane naye. We sema nikukute wapi tufanye mtoko kabambe...

Kwa hiyo Hana guarantee mwache mwenzio akawahi SitiJoanah alishakuwahi mdogo wangu🤣
Mbweha hilo🤣Fisi maji wewe🤣🤣🤣
Dawa yako iko jikoni jishauwe tuu nakuangaliawapi ? ivi kwani kuna siku umeisha wahi nikubalia kwani 🙄🙄🙄
😅😅 Pau Bae kimbia faster sana usigeuka nyuma usiseme sijakuambiaUna roho ndogo sana baby huyu National Anthem ni shetani mkubwa anavunja ndoa za watu.
Njoo tutulizane😍😍
Hapana wifi usimuache, mchukue tu ukahangaike nae. Nasi tupumue.Haya wakuu am out. chukueni ndugu yenu 😃
sema mpenzi una ubabe mwingi sana 😅😅😅 ivi nikikonda unapata niniDawa yako iko jikoni jishauwe tuu nakuangalia