Utatoka na nani wa JF?

Utatoka na nani wa JF?

Ntakulaa yoyotee atakaejimix[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mkuu
amadala ni moja wa warembo wanaojitambua sana humu.
Kibaya zaidi hakuna anayeona ubora wake zaidi yangu.
Nikimkaribisha nakosea nini?
Naomba nikusaidie tumkaribishe wote mkuu, ili uaminike na kukubalika mkuu🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom