Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,488
- 176,544
🤣🤣🤣🤣🤣🤣😅😅😅 sipendi haya mambo, acha niendelee tumia uhuru wangu ipasavyoView attachment 2447713
We unafikiri kununuliwa soksi mchezo. Halafu hizo ndio raha sasa.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣😅😅😅 sipendi haya mambo, acha niendelee tumia uhuru wangu ipasavyoView attachment 2447713
Umemmiss eeh!!🤣🤣🤣Sema lile dishi kuyumba lilijua kuropoka🤣🤣🤣🤣
Si ndio maana nilikwambia fanya namna tuwe marafiki mimi na yeye🤣🤣🤣😅😅😅 alafu ujue atafaidi sana, si umesikia watu wabaya tunakufa mapema, atakuja abaki na urithi wake kiroho safi na mie namrisisha kila kitu
Aaah wapi iko fukuzwa kijanja🤣Umemmiss eeh!!🤣🤣🤣
😅😅😅 asiwe kijana wa hovyo, japo sitokuwepo ila apate kijana muadilifu ambae atamtuliza moyo kwa kuondokewa na mumewe ila asitoke tu humu JF maana humu watu ni visanga 😄😄Si ndio maana nilikwambia fanya namna tuwe marafiki mimi na yeye🤣🤣🤣
Nitamtafutia kijana wa kumtuliza ukishatangulia.
🤣🤣🤣🤣🤣😅😅😅 asiwe kijana wa hovyo, japo sitokuwepo ila apate kijana muadilifu ambae atamtuliza moyo kwa kuondokewa na mumewe ila asitoke tu humu JF maana humu watu ni visanga 😄😄
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hapana wanamsingizia🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ila hili lizee linapuyangagaaa, ukute ya kweli haya.
Nakukata kauli mkuu, Cillah ni mtoto mbichi kabisa, ana kila kitu changu wallah!Mkuu wewe matawi sana na Mzee wa kupambania
Niliwaona mnajadili watoto wa kimataifa mara mnaenda Taiwani mara Malaysia kutuliza hamu zenu mnarudi bongo.
Nyie ni wa moto sana.
Sisi na ERoni tupo na wazee wenzetu akina Cillah humu🤣🤣🤣
JZS171 imepitwa na wakati na ni used 😅😅😅😅😅Injini mpya ni mimi na ERoni tu
Hebu huko🤣🤣Hapana wanamsingizia