ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 52,564
- 119,620
🤣🤣🤣🤣🤣🤣mjumbe alisema hili zee nilipeleke wapi sasa, kwanza halina pesa, haliwezi kunipelekea moto, halina mashamsham...Mkuu tunadumisha ujumbe wa mjumbe mkosaji kuwa wewe na shemu ni mizee🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣mjumbe alisema hili zee nilipeleke wapi sasa, kwanza halina pesa, haliwezi kunipelekea moto, halina mashamsham...Mkuu tunadumisha ujumbe wa mjumbe mkosaji kuwa wewe na shemu ni mizee🤣
Baby usisahau haraka namna hiyo, umebeba kila kitu changu🤣🤣🤣"Ana kila kitu changu"
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
sidanganyiki we lizee!
😅😅😅 umeonaee ya hawa hawafai, mie nina nafuuu.. kamati maalumu hiyo.. mie mwenyewe naenda kuchukua ushauri na saha kwaoHilo lizee!!
Wewe ndio kabisaaa katibu muenezi wa mafurushi.
Una boonge la kesi, we jitoe ufahamu. Sitaki.Baby usisahau haraka namna hiyo, umebeba kila kitu changu🤣🤣🤣
Muweka hazina nakuona upo umetuliaaa🤣🤣🤣🤣😅😅😅 umeonaee ya hawa hawafai, mie nina nafuuu.. kamati maalumu hiyo.. mie mwenyewe naenda kuchukua ushauri na saha kwao
Ngoja National Anthem ajaribu bahati yake, huenda akala katoto kabichi hako ka Darlin. Huyu amejitanabaisha kuwa mlezi wa first yrs vyuo mbalimblia nchini.🤣🤣Kaacheni kabinti ni kapya hakastahili kuchukuliwa na BARANGURE National Anthem
Au mnasemaje wazee wenzangu
Cillah na ERoni
😮😮😮😮 mie sihusiki kabisa, hao hao sipo huko na mambo yaoMuweka hazina nakuona upo umetuliaaa🤣🤣🤣🤣
Kwahiyo nani anafaa kuchukuliwa na hilo barangure?Kaacheni kabinti Darlin ni kapya hakastahili kuchukuliwa na BARANGURE National Anthem
Au mnasemaje wazee wenzangu
Cillah na ERoni
Jamaa ana misifa sana sijui muhaya?🤣🤣🤣Ngoja National Anthem ajaribu bahati yake, huenda akala katoto kabichi hako ka Darlin. Huyu amejitanabaisha kuwa mlezi wa first yrs vyuo mbalimblia nchini.🤣🤣
We uloshindikana tena!!!😮😮😮😮 mie sihusiki kabisa, hao hao sipo huko na mambo yao
😁😁😁 sasa kwani unafikiri ndio kila kitu chakeHivi kweli wewe ni wa kunisagia kunguni hivi!! Nikiachwa utafaidika nini sasa🤣🤣🤣🤣
Kesi gani tena kipenzi changu😍😍😍Una boonge la kesi, we jitoe ufahamu. Sitaki.
Yaani hupendi kabisa kuona nikifurahi eti!!😁😁😁 sasa kwani unafikiri ndio kila kitu chake