National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,202
sophy27 umemuacha mkoa au 😁😁😁Kesi gani tena kipenzi changu😍😍😍
sophy27 umemuacha mkoa au 😁😁😁Kesi gani tena kipenzi changu😍😍😍
Hatujatumika kabisaNamba E, mwambie mwamba sisi ni namba E matoleo ya 2023 kabisa🤣🤣
Nakuvumilia na uzee wako na hela huna kumbe ndio mambo yako haya😭😭😭😭Kesi gani tena kipenzi changu😍😍😍
ufurahi kwenda wapi 😧😧😧Yaani hupendi kabisa kuona nikifurahi eti!!
Hebu niwacheeee!!🤣🤣🤣ufurahi kwenda wapi 😧😧😧
mie nakuepusha na hao mabazazi 😊😊😊
Aaah, namba E hatujatumika walaa!!🤣Hatujatumika kabisa
Kifupi tu mimi na Cillah sijaona wa kututenganisha, huyu National Anthem ajaribu tu lakini ajue tuna miaka mingi sana, tumepitia mengi sana.Aje tu na yeye atasusa kama yule mjumbe aliyekimbia.
Cillah yuko imara sana nimempenda bure
Umenipigia tiktaka flani ghafla wachawi haoooo🤣🤣🤣Hebu niwache🤣🤣🤣
😅😅😅 Bangkok tu hapo ... nikishusha pdf unaweza baki unashangaa..Jamaa ana misifa sana sijui muhaya?🤣🤣🤣
Anasimulia eti yeye husafiri hadi Bangkok
Jst kupooza kiu tu?
Unaamini haya?
Baby napitia hapo sokoni kununua dagaa mchele wa ugali jioni.Ila wewe ni korona walah🤣🤣🤣
😁😁😁 yule mwingine mliachana auKifupi tu mimi na Cillah sijaona wa kututenganisha, huyu National Anthem ajaribu tu lakini ajue tuna miaka mingi sana, tumepitia mengi sana.
Yupo tena mkuu🤣🤣🤣😁😁😁 yule mwingine mliachana au