Utatoka na nani wa JF?

Utatoka na nani wa JF?

Yani sikufahamu kivile, sikufaham wala. Labda ile selfie uliweka kipindi fulani umekaa kwenye kiti, kiti kikajaa hakikutosha...ile kumbukumbu haifutiki hata kidogo[emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kile kipindi nilikuwa bado njuka humu...
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kile kipindi nilikuwa bado njuka humu...
Wallah shem ile selfie ikajaa kwenye kiti, nikajisemea huyu Mungu amembariki zaidi, ukajaza vile viti vya cello, unekalia juu juu...hivi unakumbuka nilikuambia eh🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom