Utatoka na nani wa JF?

😂😀Hauna mbambamba
Kwakweli nashukuru Kwa ilo maana nilikuwa nasubiri wasiotakiwa niwaalike waje niwapikie ugali na dagaa X mas wapunguze majonzi 😂😂😂😂
Mambo hayo🥰 niandalie gauni la sikukuu Sasa na skonkonko 😂😂
Msisahau makadirio yenu ya kujifungua yatakuwa September 2023 😂😂😂nipo nimekaa pale
Komenti bora kabisa kwenye huu uzi. Naanza kufolo inilavu!
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Anne kwanza niache, hivi ungejua nitakusemea kwa Cillah, yeye ndio kila kitu, ana kila kitu changu!!
Mbona nahisi kuibiwa jamani🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…