Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

Omariii alii jumaaa(RIP) umemwacha mkapa na naniii Jana tulikuwa nawe baba!!!

Mashairi ya marehemu Captain John Komba

Yule makamu nilikuwa nampenda sana

Kwanza alikuwa anawananga wanaimani wenzake wapeleke watoto shule wapate ilimu dunia waache kulialia. Enzi zile ngangari na ngunguli heheheheh.


Daaah R.I.P baba
Sasa hivi yuko wapi kaka wanamlaaani kishenzi
 
Wananchi wakiamua watapata katiba yao pale ambapo wataamka kutoka usingizini . Watu wanahisi kudai katiba ni suala la Mbowe na Hashim Rungwe hilo ni suala la wote hata kwa sisi diaspora .

When we will change our minds and attitudes tutapata katiba siyo hicho cha chama kimoja.
tusichoke kuwaelimisha wananchi, taratibu mpaka wote waelewe
 
Hakuwa Museveni, ilikuwa Joseph Kabila ilikuwa kwny Maonesho ya Sabasaba I it was 2001
Alifariki saa 6 usiku Nyumbani kwake Ostybay baada ya kutoka kwny Maonesho ya Sabasaba !

Hii Nchi ni kisiwa cha Amani
1) 1972 tulipoteza Rais Kwa Risasi
2) 1984 tukapoteza Waziri Mkuu kwa ajali
3)1996 Tukapoteza Mkuu wa Usalama wa Taifa kwa Risasi
4) 2001 tukapoteza Makamu wa Rais kwa sababu isiyojulikana
Naomba ujitahidi mkuu utupe ama utuandalie story ya no.3 (1996). tafadhali
 
Back
Top Bottom