Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

Kikubwa zaidi tuendelee kumshukuru ikibidi kumchangia gharama za uendeshaji boss Maxence Melo ili Jf iendelee kutuhabarisha mengi ambayo hatuyajui .

Jf inatusaidia kupata habari za huko nyumbani utafikiri tupo Segerea sheli Oilcom wakati tupo huku. Long Live Jf.
Hahaha...mkuu, hope you're doing fine. Kuhusu issue ya "Segerea sheli Oilcom" hii ni serious security breach..
 
hivi wana familia wanaposoma au kugundua kuwa baba yao "aliharakishwa" hakuna wa kufikiria kulipiza kisasi? au ndio maana hawapewi nafasi ya kuwa viongozi wakubwa wasije kuingia ndani ya system na kufanya yao?
Wanaangaliwa ktk jichola hali ya juu sana, mara nyingi huwa wanawekewa inzi ili wasije wakachafua hali ya hewa ama kupindua meza
 
 
Back
Top Bottom