Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

Mara baada ya muungano was Tanganyika na Zanzibar na kuzaa Tanzania...mchonga aliweka watu huko Zanzibar was kuhakikisha Zanzibar inakuwa sikivu kwa Tanzania ..kwa maana ya viongoz was Zanzibar wafate kile walichokubaliana....karume baadabya kusaini na kuukubali muungano alibain kuwa amesain kitu kilichomtolea meno yote..hana maamumz kwa mambo mengi..akachukia akaanza vijimaneno maneno vyabkutaka kuuvunja muungano..
Vijana was mwl wakawa wanareport kila kitu hapo magogoni na wengi waliokwenda huko walijihusisha na uvuaji was samak Bahrain lakn kumbe wako kazin...
Siku moja mwl akaamuru vikos toka Zanzibar viende Mozambique kwenda kusaidia kupigana vitavya kudai Uhuru was nchi hiyo..kumbuka tz ilikuwa mstari was mbele katika kuosaidia Mozambique..
Karume aliposikia kuwa mwl ametoa order ya wanajeshi toka Zanzibar wamepanda boti kuelekea DSM kisha waende Mozambique ..akampigia sim mwl na kumwambia kwa mini unachujua wanajeshi wangu kwenda vitan bila ridhaa yangu?..Luna majibizano yalitokea na ndipo karume akaamuru not hiyo irud Zanzibar Mara moja..mwl alichukia sana..ikizingatiwa kuwa karume alishaanza vijimaneno meno vyabkuuvunja muungano...ndipo wale vijana walioko Zanzibar wakapewa ujumbe uliohifadhiwa ndani ya yai kisha yai likawwkwa ndan box na juu box likafunikwa na gift paper na kwenda zenji kama zawad...maandaliz yakaanza na hatimae karume akarejeshwa kule ambako huwa hawarud....
...........
Wakat akisherehekea miaka 75 ya kuzaliwa kwake..alimiminiwa wine aipendayo ndani ya glass na kugonga cheers na wageni waalikwa.baada ya cheers ile mwl akanywa wine ile funds tatu na ile Mara ya tatuwakat anatoa glass kinywan aliinua glass kwa juu akawa anaangali wine iliyobaki ndan ya glass kisha akaiweka mezan..
Tayar huko nyuma miezi minne iliyopita mwaka huo 1996 kuelekea 1997alikuwa amepiga kelele sana juu ya nia ya serikali ya kuiuza bank ya NBC....
Mwl akamwita mkapa msasan...mkapa akaenda akiwa amelewa chakali..akamkuta mwl akiwa amepumzika...mwl akapelelekewa taarifabkuwa mh yuko hapa..mwl akashuka akitokea chumban..kabla hajashuka ngaz zote alitupa jicho kwa mkapa na akamuona mkapa akiwa amelewa chakari..mwl hakuongea akarud chumban nakusema hawez kuongea na mlevi..mkapa akaondoka...
Kesho take kama kawaida mwl akaenda miss ya asubuhi hapo st peter..na Mara baada ya miss akaenda kwa kadinali pengo..ndan ya of is akaionga pengo,mwl,msaidiz was mwl na msaidiz was pengo...mwl akiwa na huzun nyingi akamwangalia msaidiz was pengo huku mwl akilia machozi na akimwambia pengo nimekuja ili uende ukamwambie kwa mini amekja kwangu akiwa amelewa namna ile nimemkosea mini?.pengo alijibu kwa kingereza akasema ..mwl I will work on it..kisha akasema kwa kiswahili nitakwenda Leo join na nitafikisha ujumbe..mwl akaaga akaondoka..
Kesho yake na hats kabla hajapewa mrejesho na pengo mwl akaenda ikulu bila taarifa..akapokelewa na wasaidz was rais..ratiba ya rais wakat huo alikuwa na ugen toka umoja was mataifa..msaidiz mmoja akaenda akamwambia mkapa..mwl amekuja yuko hapo koridon amesimama anahita kukuona..mkapa akaomba udhuru kwa wagen akaenda kumuona mwl..na ndipo mwl akamwambia ..Ben kwa nn ulikuja kwangu ukiwa umelewa..kwa nn unataka kuiuza NBC...nilikuamini sana ila umeniangusha mno malizia miaka iliyobaki ukapumzike nchi ataishika mwingine...mkapa hakujibu neno mwl akaondoka..
Kilichofuata mwl aligundulika na leukemia...akalazwa st Thomas tena general Hosp...halio yake ikazolota na mkapa akitokea uswis akapita London kumjulia halo mwl na tens hakuingia chumban alikolazwa mwl Bali alimwangalia militia kwenye kiooo na kuondoka..alipofika DSM akautangazia umma kwa kusema ..mwl is recovering very slowly..hatimae nae akarejeshwa Kule kule wasikorud October 14..lait kama angejua ile wine asingeinywa siku ile ya birthday yake.

..............
Dr omali Ali juma in kama mmoja alivosema hapo juu juu ya kubadilishwa mic na sio chakula lakini inteligensia ya Tanzania nayo ilikuwa inajua fika kuwa siku hiyo ni siku ya mwisho kwa Dr juma...kulikuwa na mambo mengi yanaendelea chini kwa chini yaliyokuwa yakiratibiwa na dr ali bili ridhaa na baraka za wakubwa....
.....
Wako wengi wameondolewa kama vile
Komba
Kolimba
Mgina(wazir wa fedha)
Jb belmonte
Amina chifupa
Balali
Sokoine..na wengine wengi tu..
Mkuu malizia hao hapo mwishoni
 
Yule mmasai alizonguana nn na mzanaki?
Mchonga hakuhusika ila ataarifiwa baadae mchezo mzima ulichezwa na ex pm mmoja aliyehudumu mara mbili coz walikuwa na bifu nae.Kwenye ile kamata kamata ya wahujumu Mmasai alikuwa hajali huyu ni nani so alituma vijana wake wakampekue ingawa Mfaume aliwazuia. So group la wafaidika na ubadhirifu, uhujumu na uzembe liliungana.Mfunika kikombe ingawa hakuwa muhujumu naye alihusika tatizo kwake lilikuwa upm
 
Mchonga hakuhusika ila ataarifiwa baadae mchezo mzima ulichezwa na ex pm mmoja aliyehudumu mara mbili coz walikuwa na bifu nae.Kwenye ile kamata kamata ya wahujumu Mmasai alikuwa hajali huyu ni nani so alituma vijana wake wakampekue ingawa Mfaume aliwazuia. So group la wafaidika na ubadhirifu, uhujumu na uzembe liliungana.Mfunika kikombe ingawa hakuwa muhujumu naye alihusika tatizo kwake lilikuwa upm
Huyu X pm hata akiwa anahojiwa juu ya sakata la uhujumu bado huonekana hakumpenda mmasai sijui walikoseana nini..,
X from milima ya upare kama sio ugweno.

Sent from my TECNO WX4 using JamiiForums mobile app
 
Huyu X pm hata akiwa anahojiwa juu ya sakata la uhujumu bado huonekana hakumpenda mmasai sijui walikoseana nini..,
X from milima ya upare kama sio ugweno.

Sent from my TECNO WX4 using JamiiForums mobile app
Unajua Mchonga alikuwa anawakubali sana wote wawili sasa mmoja alikuwa anapiga kazi hadi anapitiliza Mchonga alifikiri Mmasai atamfunika. Sasa Mpare hapo anajawa na wivu kumbuka 1985 was loading.
 
Nadhani anazungumziwa baba yake hanspope Sr.
Nope, baba makofia aliuliwa siku nyingi na Idd Amin (1972).Ni yeye mwenyewe Zakaria na wenzake walitaka kumpindua JKN. Walihukumiwa kifungo cha maisha bt Mwinyi aliwasamehe 1995
 
Hakuwa Museveni, ilikuwa Joseph Kabila ilikuwa kwny Maonesho ya Sabasaba I it was 2001
Alifariki saa 6 usiku Nyumbani kwake Ostybay baada ya kutoka kwny Maonesho ya Sabasaba !

Hii Nchi ni kisiwa cha Amani
1) 1972 tulipoteza Rais Kwa Risasi
2) 1984 tukapoteza Waziri Mkuu kwa ajali
3)1996 Tukapoteza Mkuu wa Usalama wa Taifa kwa Risasi
4) 2001 tukapoteza Makamu wa Rais kwa sababu isiyojulikana
1 km haiko sawa iv
 
Nmesoma thread yote, ila kuna kitu kipya nmekiona naomba mwenye uelewa anisaidie au atusaidie tusiojua.
Kwanini boss mkubwa wa miaka 10 aliepita Msanii Mwanauchumi msomi anaitwa KHALFAN?[/QUOTE Baba yake aliitwa Mrisho Halfan Kikwete
 
Nje ya Mada Kidogo

Wanajamvi miaka mingi nimekuwa nikijiuliza ili swali;

Inatokea viongozi wa waasi wanajulikana kama wakina Wamba Dia Wamba, Kagame, Charles Taylor, Foday Sankoh, "Papoy" Sam Bockirie, "mosquito" Foday Kallay, Paul John Koroma, na wengine wengi awa uwa wako uraiani wakati harakati zinaendlea msituni na wakati mwingine wakiitwa kwenye majadiliano ya kurejesha amani.... Swali je?

Kwanini hawa watu uwa wakikitokeza hadharani awawez kuuwawa zaidi ya kukamatwa na kuwekwa kizuizini??
Kwa kujulikana kuwa wao ndo kiini cha tatzo kwanini wasiuawe ili kumaliza mogogoro na waasi waliobaki msituni kutua siraha chinii??
Naomba ufafanuzi wa ili wadau.....
Unadhani kuua ndio kutatua tatizo?
 
Habari ndio hiyo na walikua wanatuma ujumbe kwa muhusika kwamba tumekuchoka ..unadhan kwann Pogba hawapendi wachaga??

Amezi distribute zile gari kwa kila KJ nchi nzima.. jiulize kuna vikosi vingapi!
Hapo kwa pogba na wachaga ungeenda deep kidogo mkuu
 
Horace Kolimba (Kinana wa wakati huo) akaanza kukinanga Chama na Serikal hadharani akaitwa kujieleza kwny Kamati kuu, Mama Yake Mzazi alimkataza asiende Dodoma lakin Yeye na usomi na ujuaji wake akabeba Makabrasha ya ushahidi wa hoja zake
Alirudishwa kwny sanduku!

Sometime huwa nasema hata Yale maradhi ya Hayati Aboud Jumbe yaliyoanza baada ya kupinduliwa Dodoma Jan, 1984 pengine yalilenga 'kudumisha Muungano'
Ndio hapo wanapo sema ukijaribu bomoa muungano utakufa wewe
 
Anaitwa Imran Kombe, alipigwa Risasi 14 kifuani na Askari wa Jeshi la Polisi kwa Madai ya kufafanisha gari aliyokuwemo na iliyoibiwa!
Sina Immunity ya kutoshughulikiwa ndio sababu sitofunguka zaid Mkuu
Alipigwa risasi kule mkoa wa kaskazin

Nilikua primary na tukio halikua mbal na shule

Wale jamaa walifungwa akaanza kufa mmoja mmoja
Walikua 6
Sijui wameisha au lah



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom