Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

Si hivyo tuu
Jamaa alianza kumuua mwlm toka anaanza kuumwa kule butiama, medical records unajua fika DSTV walizifanya nini. Infact alimmaliza Mwalimu kwa style ya JK na watu wake walivyommaliza Sheikh Ilunga na safari ya India.

Teacher alipofika London alikuwa brain dead. Hapo usiniulize kuhusu maiti kupasuka Taifa siku ile
Mkuu funguka kuhusu kupasuka kwa maiti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna nn nyuma yake mpaka ili kusudiwa mpemba adedi..alikwa ameyumba wap

Sent using Jamii Forums mobile app
Labda boys 2 man wanahusika,nadhani ilikuwa ktk harakati za uprezidaa wa 2005-2015.Nadhani ilikuwa zamu ya Znz kutupatia Jiwe upande huo,sema kulikuwa na watu wamejipanga kwahiyo wakaharibu mpangilio mzima na utaratibu woote,na madhara yake mpaka sasa tunayaona.So instead ya Dr.OAJ tukampata Dr.JK,baada ya hapo mfumo ukaharibika mpaka sasa mambo hapo hamirojo,tumempata Jiwe wa Chato(although yeye IPO sawa mana ilikuwa nafasi ya bara 2015-2025).Ishu ilichafuka 2005-2015.

Short but great analysation,,japo hatwezi sema Ni jibu sahihi Sana..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuwa Museveni, ilikuwa Joseph Kabila ilikuwa kwny Maonesho ya Sabasaba I it was 2001
Alifariki saa 6 usiku Nyumbani kwake Ostybay baada ya kutoka kwny Maonesho ya Sabasaba !

Hii Nchi ni kisiwa cha Amani
1) 1972 tulipoteza Rais Kwa Risasi
2) 1984 tukapoteza Waziri Mkuu kwa ajali
3)1996 Tukapoteza Mkuu wa Usalama wa Taifa kwa Risasi
4) 2001 tukapoteza Makamu wa Rais kwa sababu isiyojulikana
Ulimsahau kifo cha Nyerere 1999 nae ilikuwa ni utata. Sababu kubwa inasemekana ilikuwa ni ubinafsishaji na uuzwaji wa migodi ya dhahabu. Mkapa inasemekana is responsible for the death of Nyerere.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yametimia yote yalioandikwa humu though kutokana na majukumu ya dunia hii korofi but ipo siku ntaandika vizuri tena kuhusu Boyz 2 men.

Naona kuna mambo yanafanyika...
Rostam yuko hapa Tanzania...

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Back
Top Bottom