#COVID19 Utata wa chanjo ya UVIKO-19: Askofu Gwajima kutoa msimamo mwingine juu msimamo tarehe 1/8/2021

Mtazame na msikilize mwenyewe ktk video hii. Yeye kauita huu wa kesho kuwa ni "msimamo juu ya msimamo"...

Hii ndiyo sauti ya "Jitu la Mbinguni" iliayo nyikani kusema itengenezeni njia ya Bwana maana ufalme wa na upo duniani...!

Video na sauti yake itafuata........
Tunasubiria na kesho tunasali Ufufuo na Uzima
P
 
  • Thanks
Reactions: mmh
Askofu Rashid Gwajima anasema kesho analipua bomu la Nuclear,nchi itasimama na wa kumgusa hakuna. Gwajima kanyagia hapo hapoooo asikutishe mtu wewe una watu.
Mlimwambia Abubakar hivyo hivyo now mnaenda kugaragara ubalozi wa USA aachiwe. Mnapenda kuwajaza watu upepo wakipata matatizo mnaanza kuandika vihashtag vyenu na kupitisha mabakuli
 
Ki ukweli nacho weza kusema tu wana Kawe ‘walipigwa’ kwa kupata muwakilishi kama huyu

Angebaki madhabahuni tu huyu
 
Mlimwambia Abubakar hivyo hivyo now mnaenda kugaragara ubalozi wa USA aachiwe. Mnapenda kuwajaza watu upepo wakipata matatizo mnaanza kuandika vihashtag vyenu na kupitisha mabakuli
Tuliza kijambio dogo huu mchezo tuachie wanaume tuucheze.
 
  • Thanks
Reactions: mmh
Sasa kama hayati mzee baba alishatuasa chanjo hazifai na akasema nireteeeni gwajima, sisi ni nani hadi tumpinge gwajiboy kwa maneno ya kwenye kanga................kumbuka mzee wetu wa msoga alishatuasa 'za kuambiwa changanya na zako' iweje iwe nongwa watu wanapoamua kuchanganya akili za kong'ota na mbayuwayu...
 
hii nchi ni kama vile haina amiri jeshi mkuu, Gwajima kitendo anachokifanya hakina tofauti na muuwaji hakustahili mpaka muda huu kiwa uraiani
Unajua wewe jamaa ni mjinga sana.
Ni nani kakuambia umuamini gwajima?
 
Ufufuo na uzima asubuhi sana, Mungu ambariki baba askofu.
 
Kokote ulipo mh.Rais Samia mnyooshe huyo Kibwetere ukimuacha atakuchezea sana,anakudharau kwa sababu wewe ni mwanamke.
Labda humjui gwajima
Hakuna raisi ambae gwajima hajamponda, alianza na kikwete, akaja Magufuli na sasa Samia
 
Mlimwambia Abubakar hivyo hivyo now mnaenda kugaragara ubalozi wa USA aachiwe. Mnapenda kuwajaza watu upepo wakipata matatizo mnaanza kuandika vihashtag vyenu na kupitisha mabakuli
Hii ni demokrasia mzee baba mbona bagonza na shoi walikua wanaishona sana awamu iliyopita na walipeta tu, acheni kujifanya miungu bana.
 
Tunasubiria kwa hamu, na kwa vile ni Mbunge wetu Kawe na Mwakilishi wetu, chochote atakacho kisema, ndicho wana Kawe wote tutacho kifuata.

P
Usije shangaa akapiga bonge la U -TURN, kuwa alinukuliwa vibaya!!hivyo chanjo ni salama kabisa, na yeye yupo tayari kuchanjwa!!nina imani kuna yanayoendelea huko nyuma ya pazia toka alipotoa msimamo wake, kutokana na matamko ya chama chake.
 
hii nchi ni kama vile haina amiri jeshi mkuu, Gwajima kitendo anachokifanya hakina tofauti na muuwaji hakustahili mpaka muda huu kiwa uraiani
ALSO ON RT.COM
Governor Abbott threatens to fine local govts that order Texans to mask up as CDC U-turn triggers wave of new mandates
However, the CDC study noted that similarly high viral loads were found in vaccinated and unvaccinated people. Walensky stated on Friday that “high viral loads suggest an increased risk of transmission” and raised concern that “vaccinated people infected with Delta can transmit the virus.” The study itself is less alarmist, stating that “microbiological studies are required to confirm these findings.”
L
Walensky said that the Cape Cod study was “pivotal” in informing the CDC’s decision to recommend indoor masking. Previously, the agency drew flak from Republicans for using an extremely limited Indian study on viral loads and potential transmission to back up the mask guidance, as was revealed by documents leaked to the Washington Post on Thursday.

The study appears to negate the argument by top health officials that unvaccinated Americans are responsible for the fourfold rise in Covid-19 cases in the US since June. “This is an issue predominantly among the unvaccinated, which is the reason why we’re out there, practically pleading with the unvaccinated people to go out and get vaccinated,” White House coronavirus adviser Dr. Anthony Fauci told CNN on Sunday, adding that the US is currently moving “in the wrong direction” with regard to stamping out Covid-19.
 
Tunasubiria kwa hamu, na kwa vile ni Mbunge wetu Kawe na Mwakilishi wetu, chochote atakacho kisema, ndicho wana Kawe wote tutacho kifuata.

P
Naona unachochea kuni? 😁😁😁Jamaa alikuangusha Kawe huyu. Anyway namsifu Gwajima sababu ni mtu dhabiti. Wanaume huwa tuna misimamo siyo wafuata upepo. Hapo nimemkubali. Na chuki,wivu nmeweka pembeni....😂😂😂 Sisi tunamsikiliza mwakilishi wetu.
 
Back
Top Bottom