Utata: Msanii Roma Mkatoliki na wenzake wakamatwa/tekwa nyara

Kama walimvua mkanda na viatu Mhe.Mwigulu nadhani watu wa TISS wanaweza kufanya chochote kibaya kwa yeyote
 
Naona watoa comments Karibu wote tuna mawazo kuwa Roma na wenzako wamechukuliwa na Serikali kitu ambacho ni hisia tu kisa Roma ana nyimbo za kuikosoa Serikali.

Jamani tuache huu mzaha ktk maisha ya watu kwani kuna wahalifu wanaweza kutake advantage ya UJINGA wetu kila anayepotea au kutekwa kufikiria ni Serikali wakati huna hata ushahidi wowote then wakafanya mengi mabaya kwa faida zao.

Hili tuliachie mamlaka husika watupe nini kilitokea na juhudi ni zipo za kuwatafuta.
kweli kabisa, kama juhudi iliyopo ya kumtafuta Ben Saanane.
 
Hivi kura tuliwapigia kwa amani mbona malipo ndio haya jamani hayo mambo tulizoea kuyaona kwa wasomali huko na alshabaab yao miungu watu tutakufa sote ni swala la mda tu watangulizeni wenzenu zamu yenu yaja kutwa makanisani kumbe mbwa mwitu wakubwa [HASHTAG]#free[/HASHTAG] roma
Siku nyingine msirudie kuwapigia kura
 
Naona watoa comments Karibu wote tuna mawazo kuwa Roma na wenzako wamechukuliwa na Serikali kitu ambacho ni hisia tu kisa Roma ana nyimbo za kuikosoa Serikali.

Jamani tuache huu mzaha ktk maisha ya watu kwani kuna wahalifu wanaweza kutake advantage ya UJINGA wetu kila anayepotea au kutekwa kufikiria ni Serikali wakati huna hata ushahidi wowote then wakafanya mengi mabaya kwa faida zao.

Hili tuliachie mamlaka husika watupe nini kilitokea na juhudi ni zipo za kuwatafuta.
kweli kabisa, kama juhudi iliyopo ya kumtafuta Ben Saanane.
 
Screenshot_2017-04-06-22-38-00.png
 
Nachojua mie hawa wanamuziki wana washabiki wengi sana miongoni mwa watanzania hata foreign countries hasa age between 18-30; vita yoyote na watu hawa kama serikali ina mkono wake basi italeta madhara makubwa sana ya kisiasa. Hii age pamoja na kuwa wao wapiga kura lkn pia ni age ambayo wako tayari kwa lolote. Kama kuna watu wanadhani watashinda kwa goli la mkono, basi waachane na age hii, itawaliza.
 
Wambieni mi mzalendo na hii ndiyo mbiu ya mgambo/
Tanesco wanazima umeme kupitisha mzigo wa magendo /

ROMA SIO MIMI
 
Back
Top Bottom