REDEEMER.
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 8,925
- 14,880
Hii ndiyo ilivyokuwa siku ya kutwaliwa eliya Mungu Wa majeshi. Tizama wingu lilivyobadilika, hakukuwa na ratiba ya kuaga maana hakufa Bali alihama kituo, jeneza a.k.a Sanduku la agano alikupaswa kufunikwa na mchanga lililokuwa limebeba viungo vyake, ni zege tu ambapo hata enzi za mitume Yesu waliwekwa mapangoni,
SHIKA NENO TENDA NENO ULIYEPEWA NEEMA KUBWA HAPA
NI HERI ZAIDI KUWA MUUMINI WA KANISA HILI KULIKO KUWA MSHABIKI WA YANGA.... BORA ZAIDI KUWA MUUMINI WA KANISA HILI HATA KAMA KUNADOSALI KULIKO WAFUASI WA WANASIASA NA WAGANGA....MAANA HATA USIPOBARIKIWA BASI ANGALAU UTAJIFUNZA BIBLIA NA KUPUNGUZA UHALIFU INCHINI...bible say; Heri wale wasio enenda na wenye mizaha...
Yaani jeneza mdio unaliita Sanduku la Agano? Hivi unalijua sanduku la agano kweli hii ni kufuru.