Inanambo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2011
- 3,985
- 2,770
Yaani ukienda kwake Mapinga mmmhh utashangaa jinsi alivyojijenga. Ni mji Fulani hivi kwenye walinzi na mageti ya chuma. Yule Nabii hakika alijijenga!jamaa alikuwa anamahubiri mazuri, ukipata cd zake jaribu kumsikiliza!