Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,650
- 16,722
mimi ni mchaga pia halafu mbadilike acheni ujinga......Acha chuki binafsi ndugu kwa wachaga uunapotoa maoni tafiti kwanza. Wamiliki na waanzilishi hawa ni Wachaga?: Kakobe, MWINGIRA, Lwakatare, Fernando, Gamanywa, Gwajima, Lusekelo, Katunzi, Maboya, Mkombo, Winners, Yaspi, Kulola, Bendera, Malisa, Makuti Kawe, GeoDave list continues. Hawa nao wako vizuri kimaisha wengine hadi kumiliki ndege. Hao ni Wachaga? Aliyeachiwa Sloam si Mchaga ni Mha msomi Wa PhD naye anaendelea vizuri. Hujaona msaada waliotoa kwa jamii wiki iliyopita?
eti phd
kweli binadamu mnyime elimu umtawale...... sasa ulikuwa unaenda huko ajili ya phd ya munuo!? mbona hakupaa si alisema hatakufa....... kagombee mali mkuu